Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Sina uhakika, ila mimi ndo mke ninayeishi naye kwa miaka 15 sasa. Namkubali yeye na watoto wake. Ananinkubali mimj na wanangu. Kifupi sijaona tatizo la single mother, bali nimeona matatizo ya tabia za baadhi ya wanawake, wawe single mother au vigori, ni shida tupu.

Jirani yangu mwanamke alimwoa kigori. Kila siku analialia. Tabia mbovu, hadi michepuko inaingizwa chumbani kwa mume anapokuwa safari. Narudia alimwoa kigori tena form two tu.

Kifupi, tatizo ni tabia za binadamu siyo kuzalia home au ubikira. No! no! no!
Naunga mkono hoja [emoji817]. Tabia ya mtu ni kama ngozi. Kama anatabia nzuri hata akiwa single mother no shida eti... vice versa is true...
 
Mbona kama sababu ndogo kupelekea kuuana hivo

Ukute chanzo kabisa hamkuambiwa. Sidhani kama kumkataa mtoto kulikuja tu from nowhere

Siyo kwamba bibie alikuwa anapasha kiporo na baba wa mtoto
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Njaa kali
Siyo njaa kali. Kasema hawezi mpenda asiyekuwa na pesa inamaana hata mumewe pia hela ikikata mapenzi yataisha. Sasa huyu si ndo atakuja kukatwa mapanga kama ticha hapa. Sema yeye anamcheka ticha kuolewa na mkulima kukatwa panga ila yeye ataolewa na tajiri siku hela zikiisha pia atakwatwa panga vilevile.
 
Wanaume wengi hamujiamini sijui mna shida gani wallah, hafu kuwatawala huwa halipo vichwani mwetu ni nyie huwa mna create imaginations zenu Matokeo mnaanza kuharibu
Shida inakuja sometime mwanaume lazima angalie je unafaa kuwa mama wa wanae na wengine hawataki stress kusumbuana ndio maana unakuta mtu anaoa wakawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo zipo sana, msomi mzima unaolewaje na mwanaume shule ndogo lazima msumbuane hata ukimkosea kiubinadamu ataona una mdharau kisa umemzidi shule na kazi. Ka mwaoana msizidiane sana elimu na kipato
Fact isiyo na neno "less" mbele....
Una hit kwenye point 2
 
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
ITAKUWA AME PATA CHANJO HUYO MMEWE FIRST DOZI YA J.J
JamiiForums-1820461607.jpg
JamiiForums427806879.jpg


Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Kabsa. Unaoa mwanamke hawa wa vyuoni aisee baadhi sio wote ni sumu kwa kweli. Kwanza kabaragazwa mbaya afu mjuaji kinoma why mtu ajilipue. Mwanaume anahitaji mwanamke atakae msikiliza na kushauriana sio wale wanaoona elimu yao ndio muongozo wa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom