Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Kwa maana Nyingine Dashboard inaonyesha Muda wa service umepita coz kilometers zimesoma Sana
 
to yeye ameamua tu kutengeza story msukuma .

Nikuambie mtu yeyote anaweza kuua Kwa staili yeyote kama ubinadamu utaondoka kwake Kwa sababu ya msongo wa mawazo, hii kuwasema wasukuma Kwa sababu Tu ya tukio moja Hilo . Yaonekana to yeye anachuki binafsi sijui aliitoa wapi aangalie naye Kwa chuki hii ya kuwachukia wasukuma ajikute anaua msukuma

Wangapi huku usafani wanauana, wanakatana mapanga wanajeruhiana aliwahi kusema na sababu ni za wivu Tu wa mapenzi

Hili tukio lichukuliwe kama binadamu Tu kafanya mauaji.

Ila inauma Darajani kila mtu kaongea lake
 
Kwa maana Nyingine Dashboard inaonyesha Muda wa service umepita coz kilometers zimesoma Sana
Kuwa mpole nina kazi yangu sitegemei , pesa ta mwanaume. mwanaume nilie nae anatimiza majukumu yake kama mme.usicoment kwa hasira life is all about choice.
 
Wanawake wa aina yako ni wapumbavu wa mwisho! Hauna mapenzi ya kweli,Wewe unachoangalia ni pesa! Siku zikiisha na wewe unaingia mitini.MSALITI kama wewe hupaswi kuachwa kuishi! Badala ya kuangalia mapenzi ya dhati unaangalia material things! Utapata tu mwenye pesa alafu akutoe kafara! Kwa kuwa hana mapenzi ya kweli na wewe siku akiugua au akafukuzwa kazi akafilisika ndio mwisho weni! MUNGU akusaidie!
Mtampata mara ngapi tena? Mnapendaga kuigiza muonekane wema. My dia life is about choice. Nakumbuka sikuwahi kukurupuka kwenye mahusiano nilikuwa nikikaa hata nika 3 yrs bila mtu siku nakuja kupata mtu anakuja exactly kitu moyo unapenda. Wewe tukana upendavyo ila usifikiri kila mtu anakurupuka kuanzisha mahusiano. Kuwa mpole.
 
to yeye ameamua tu kutengeza story msukuma .

Nikuambie mtu yeyote anaweza kuua Kwa staili yeyote kama ubinadamu utaondoka kwake Kwa sababu ya msongo wa mawazo, hii kuwasema wasukuma Kwa sababu Tu ya tukio moja Hilo . Yaonekana to yeye anachuki binafsi sijui aliitoa wapi aangalie naye Kwa chuki hii ya kuwachukia wasukuma ajikute anaua msukuma

Wangapi huku usafani wanauana, wanakatana mapanga wanajeruhiana aliwahi kusema na sababu ni za wivu Tu wa mapenzi

Hili tukio lichukuliwe kama binadamu Tu kafanya mauaji.

Ila inauma Darajani kila mtu kaongea lake
Bas sitii neno coz umeconclude mkuu
 
Sasa watu wanasikitika vitu vya kusadikika
Karibu inyala mbeya,Leo SAA 4 tunaanza safari kwenda zika mboz.Asante kwa ulichojisikia kucomment huenda kweli ni kichekesho kwako mkuu
 
Karibu inyala mbeya,Leo SAA 4 tunaanza safari kwenda zika mboz.Asante kwa ulichojisikia kucomment huenda kweli ni kichekesho kwako mkuu
Nawewe karibu Kibirizi huku kigoma Saa2 tunaenda kumzika fisi aliyekamatwa Jana usiku ana miguu ya binadamu Na mikono ya chuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom