cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Wewe ndo utumie common sense hapo it's clearJe ukimzidi mwanamke? Use common sense.

Sina uhakika, ila mimi ndo mke ninayeishi naye kwa miaka 15 sasa. Namkubali yeye na watoto wake. Ananinkubali mimj na wanangu. Kifupi sijaona tatizo la single mother, bali nimeona matatizo ya tabia za baadhi ya wanawake, wawe single mother au vigori, ni shida tupu.Wanawake wana changamoto sana, kwa single mother kupata mwanamme atakayekubali watoto wa kambo si rahisi.....maana mtu unajiuliza, nilee watoto wa huyu mama aliyezaa na vibaka alafu mwisho wa siku wananigeuka? Mtu unachapa tu single mother kisha unasepa. Si rahisi kukaa ama kuishi na watoto wa vibaka.
Dah, mwendo wameumaliza mapanga wamepigana vyema!Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.
Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.
Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Duh. Pole sana, Niko tayari kuwasaidia Single Moms wote at zero cost! MsijiueSad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.
Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.
Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Shombo lazma ilihusikaNaonaga wanawake wanasema wasukuma wanajua kucare...shetani ashindwe inawezekana labda huyo mwanamke alimjibu kwa dharau na shombo
Walimu wakitongozwa na walimu wenzao wanaona hasara. Wanavunga hadi umri unapita au kuzalishwa na wahuni. Mwisho wa siku wanaangukia kwenye mikono ya haohao wahuni.Walimu wa kike wamegeuka kitega uchumi kwa vijana, huku wilayani kwetu wanawaendea hadi kwa waganga ili wawapate then wakisha wanasa wanaomba mitaji kama vile pikipiki au gari then wanadhulumu hatari. Walimu kuweni makini kama vipi tafuteni watumishi wenzenu sio wahuni sana.
Uko serious au unatania?Amekuwa mchungaji saivi
Kumbe wewe mtoto mzuri tupo wote hapa Usafwani?Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.
Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.
Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Mbozi sehemu gani...sI ajabu ndugu yangu huyoMbozI, japo na hapa shuleupo
Na tutakutia mpaka huko chini kuwe kweusi, hatuoi wanawake wa kariba yako.Wenye pesa mbona wapo jamani wengi hivi jamani?
Humu sijui kwa nini watu wakisikia mwanamke anapenda pesa wanakuwa triggered kweli kweli na wanakuwa wakali kama pili pili.Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
NakaziaMsiba wa ticha uko wapi?