Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Pole kwa mwalimu aliruhusu mihemko ya wapuuzi kuhusu ndoa na yeye akaolewa ili kuridhisha jamii Matokeo yakawa hayo. Daily huwa nawaasa wanawake wenzangu ukiona umemzidi mwanaume kipato au elimu na yeye hana vitu vingi mtakuja kusumbuana na inferiority complex itamtesa then akutese kihisia, ila wanawake huwa wanafikiria kumlea mwanaume kazi ndogo.
R.i.p teacher
 
Sad,alikuwa single mom....watu wakachonga sana.Huolewi coz ni Malaya,kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae =
Mtoa manda sounds kama mpigwaji nae.
 
Pole kwa mwalimu aliruhusu mihemko ya wapuuzi kuhusu ndoa na yeye akaolewa ili kuridhisha jamii Matokeo yakawa hayo. Daily huwa nawaasa wanawake wenzangu ukiona umemzidi mwanaume kipato au elimu na yeye hana vitu vingi mtakuja kusumbuana na inferiority complex itamtesa then akutese kihisia, ila wanawake huwa wanafikiria kumlea mwanaume kazi ndogo.
R.i.p teacher
Je ukimzidi mwanamke? Use common sense.
 
Nyumba wamejenga wote Ilitakiwa wauza wagawane ndo Sheria ya Ndoa inasema hivyo, Japo Mgawanyo huo Ungezingatia Mchango wa kila mmoja na Mume hapo angepata Kiasi kidogo maana mchango wake yeye sio fedha ila ni Jitihada tu bas

Note: Sheria ya Ndoa ndio inasema hivyo na si maneno ya Mtaani

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Sad,alikuwa single mom....watu wakachonga sana.Huolewi coz ni Malaya,kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.
Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae
Wanawake wana changamoto sana, kwa single mother kupata mwanamme atakayekubali watoto wa kambo si rahisi.....maana mtu unajiuliza, nilee watoto wa huyu mama aliyezaa na vibaka alafu mwisho wa siku wananigeuka? Mtu unachapa tu single mother kisha unasepa. Si rahisi kukaa ama kuishi na watoto wa vibaka.
 
Kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom