Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Humu sijui kwa nini watu wakisikia mwanamke anapenda pesa wanakuwa triggered kweli kweli na wanakuwa wakali kama pili pili.

Sijui nani aliyetudanganya wanaume kwamba mapenzi ya kweli lazima yawe struggle love.

Kuna kitu hakipo sawa, btw poleni wafiwa.
Wanaume mmebaki wachache. Mnalalamika sana, nani kwani kuvumilia shida ndo kuwa wife material?
Eti wanaume wengi si mnapenda wanawake wenye matako makubwa? Sasa kama ndivyo kwa nini na sisi tusiwe na hitaji letu?

Kwakweli mimi pesa najua kuzitafuta najua zinapatikana kwa shida ila mwanaume ambae hana vijisent hata kama ni vidogo yaan ana 1200 tu atanisamehe.🙈🙈🙈
 
Nyie ndo mnaliwa na kubwagwa na wenye hela maana unajionesha kabisa umefata hela.
After all mimi sitafuti mme maana tiyari ninae. Sasa huyu alojifanya ana mapenzi ya dhati yupo wapi? Mbona kauliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom