Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Walimu wa kike wamegeuka kitega uchumi kwa vijana, huku wilayani kwetu wanawaendea hadi kwa waganga ili wawapate then wakisha wanasa wanaomba mitaji kama vile pikipiki au gari then wanadhulumu hatari. Walimu kuweni makini kama vipi tafuteni watumishi wenzenu sio wahuni sana.
Sasa ndg yangu wakitafuta Watumishi wenzao,na mzunguko wa pesa kwa masikini utafikaje huko chini!!?
 
Ni ubinafsi tu.
Halafu siku hizi watu wanaachana kwa sababu zisizo na msingi kabisa zaidi ni ubinafsi tu
Ni ubinafsi. Mara nyingi unakuta mtu kapata mchepuko huko halafu anaanza figisu figisu. Bila kujua hata mchepuko mwenyewe yuko hapo kimaslahi zaidi. Kuna ambao wana sababu za msingi kabisa, na anaona kabisa nikiendelea kukaa hapo, yanaweza kutokea yale ya Saidi. Mara nyingi kama mtu kavunja ndoa bila sababu za msingi , mwenye hatia hata pata amani maisha.
 
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Haya matatizo hayataisha mpaka muelewe kuwa mnahitaji kuandikisha mali katika holding corporations na sio sole proprietorships.
 
Ni ubinafsi. Mara nyingi unakuta mtu kapata mchepuko huko halafu anaanza figisu figisu. Bila kujua hata mchepuko mwenyewe yuko hapo kimaslahi zaidi. Kuna ambao wana sababu za msingi kabisa, na anaona kabisa nikiendelea kukaa hapo, yanaweza kutokea yale ya Saidi. Mara nyingi kama mtu kavunja ndoa bila sababu za msingi , mwenye hatia hata pata amani maisha.
Hata mchepuko ukimuweka ndani akishazaa tu anakuwa na tabia mbaya zaidi ya mke,inabidi utafute mchepuko mwingine tena uoe.
 
Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule. Akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima. Kumbe msukuma naye kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga, bwana kazi yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba yake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie basi tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane basi tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndiyo hivyo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad, sad, sad! Yaani kumbe jamaa naye kanywa sumu, now tumepata taarifa naye kakata moto huko hospital. Inyala Mbeya. Single moms msilazimishwe, mabacherors msilazimishe ndoa, marriage is not everything!
😥 Mbona matukio ni mengi hivi
 
Tulikuwa tunaishi nao mazingira ya kaz,ofisi Moja...meza aliyokuwa anakaa yeye now ndo nakakaa...pia ujumbe alioacha marehemu mkaka kabla hajafa.
Mungu awarehem watoto maana hawana hatia ila wameongezewa ugumu wa maisha 😭😭
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom