Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Shida inakuja sometime mwanaume lazima angalie je unafaa kuwa mama wa wanae na wengine hawataki stress kusumbuana ndio maana unakuta mtu anaoa wakawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna binadamu asiye na changamoto duniani aisee awe mubovu, wakawaida au mzuri sana wote tu tuna mapungufu hawa chagua chagua ndo huangukia pua
 
Wanawake wa aina yako ni wapumbavu wa mwisho! Hauna mapenzi ya kweli,Wewe unachoangalia ni pesa! Siku zikiisha na wewe unaingia mitini.MSALITI kama wewe hupaswi kuachwa kuishi! Badala ya kuangalia mapenzi ya dhati unaangalia material things! Utapata tu mwenye pesa alafu akutoe kafara! Kwa kuwa hana mapenzi ya kweli na wewe siku akiugua au akafukuzwa kazi akafilisika ndio mwisho weni! MUNGU akusaidie!
Mm nina ndugu yangu alimuoa mwanamke tena mke wa pili aisee alikua mwanamke wale wanaojua kuigiza upendo aisee utasema huyu mke kweli kumbe alifuata senti za ndugu ikiwa yy hana zake huyo.mwanamke. maisha yameenda baadae pesa ikakata weee mke wa pili mpenda pesa mbona alisitisha ndoa akakimbia akamuacha mke wa kwanza akaenda olewa tena na mtu ambae mambo fresh. Sema Mungu alimlipa maana kazalishwa mtu na jamaa anakataa mtoto c wake akihesabu muda alomuoa anaona kapigwa sasa mtoto anampeleka kwa ndugu yangu nayeye hamtaki maana muda aliomuacha hakuwa na mimba hivyo mwanamke tuseme alikua mdangaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaharakishe hakuna cha 39 ndoa ni ndoa tu hata kama ni 45
Inategemeana na jinsia mkuu.
Kwa wakiume hiyo miaka ni sawa tu kwa wanawake lazma kutakua na ukakasi kidogo mkuu.
Labda aolewe na mtu mzima mwenzie ila vijana watamsumbua sana sana.
 
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Mwandiko
 
Nyie ndo mnaliwa na kubwagwa na wenye hela maana unajionesha kabisa umefata hela.
Alaf mwisho wa siku anakuja kusema kuwa wanaume wote ni mbwa, kumbe umalaya wake ndio umemfanya awaache wanaume wanaojielewa awafate mbwa wenzie
 
Kwa wanajua sheria ya Ndoa hawawezi Kujosemesha maneno kama haya
Sheria ndo inasema hivyo ila sio rahisi kuelewa maana Mtaani ujinga mwingi sana

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Yaani mwanaume kabisa unasimama auze nyumba?Kwahiyo mke afanye kazi yeye aje na kumpikia kumfulia nguo kisha amwambie wauze nyumba daa!! waache umarioo, pole yake marehemu kwakumfuga fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na jinsia mkuu.
Kwa wakiume hiyo miaka ni sawa tu kwa wanawake lazma kutakua na ukakasi kidogo mkuu.
Labda aolewe na mtu mzima mwenzie ila vijana watamsumbua sana sana.
Hapo wakufanana naye hakosekani,.2016 nilishuhudia ndoa Baba 50yrs na mke 40 na kila mtu hajawahi olewa kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mwanaume kabisa unasimama auze nyumba?Kwahiyo mke afanye kazi yeye aje na kumpikia kumfulia nguo kisha amwambie wauze nyumba daa!! waache umarioo, pole yake marehemu kwakumfuga fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Geuza upande wa Pili kwa wanawake ambao ni mama wa Nyumbani wahangaike kutafuta Mali wafamikiwe kujenga Nyumba siku wakiachana mke asipate kitu kisa alikuwa mama Wa Nyumbani? Na je Haki ambazo wanawake Wanapigania kila uchao ni zao tu wanaume hawatakiwi kupata stahiki zao! Asee Kama mmechuma pamoja lazima mgawane kwanKuzingatia mchango wako japo ni kidogo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Hata isipokuwa hamsini hamsini binadamu yoyote ana maudhafu yake tujifunze kuangalia mazuri ya watu zaidi kuliko negative
Ndio sijakataa pia tuepuke kuyatumia hayo madhaifu kuwaumiza wengine. Kama una hasira jaribu kuzcontrol ili tusifikie hatua yakukatana mapanga. Kama hutosheki sema kama unatamaa acha maana mwisho utakua mbaya. Kuchezea hisia za mwenzako ni kitu kibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geuza upande wa Pili kwa wanawake ambao ni mama wa Nyumbani wahangaike kutafuta Mali wafamikiwe kujenga Nyumba siku wakiachana mke asipate kitu kisa alikuwa mama Wa Nyumbani? Na je Haki ambazo wanawake Wanapigania kila uchao ni zao tu wanaume hawatakiwi kupata stahiki zao! Asee Kama mmechuma pamoja lazima mgawane kwanKuzingatia mchango wako japo ni kidogo

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Hivi huyo msukuma alikuwa nafanya kazi za nyumbani kama mwanamke?Daa kuna familia moja dada mwajiriwa mme mzururaji tena kwa gari ya mkewe na kudanga juu, mke anapanda bajaji na daladala na kipigo juu kipatikane kibanda eti uza tagawane weee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom