Sina uhakika, ila mimi ndo mke ninayeishi naye kwa miaka 15 sasa. Namkubali yeye na watoto wake. Ananinkubali mimj na wanangu. Kifupi sijaona tatizo la single mother, bali nimeona matatizo ya tabia za baadhi ya wanawake, wawe single mother au vigori, ni shida tupu.
Jirani yangu mwanamke alimwoa kigori. Kila siku analialia. Tabia mbovu, hadi michepuko inaingizwa chumbani kwa mume anapokuwa safari. Narudia alimwoa kigori tena form two tu.
Kifupi, tatizo ni tabia za binadamu siyo kuzalia home au ubikira. No! no! no!