Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Hii ishu imetokea Inyala ama wewe ndo wa Inyala?
By the way asante kwa ushauri mzuri
 
Usiwaharakishe hakuna cha 39 ndoa ni ndoa tu hata kama ni 45
Ingekuwa ndio hivyo basi wanawake wote wangengoja hadi huo umri kuolewa .

Unachosema hapo ni sawa na mtu asome awe na degree yake kisha umshauri kuwa asiwe na haraka ya kuomba kazi. Atulie home acheki tu movies, ale bata asubirie hadi afike umri wa kustaafu (kuanzia miaka 50+) then ndio akaanze kutembeza bahasha kuomba kazi kwenye makampuni.

Hivi unadhani kuishi na mtu nyumba moja maisha yako yote kisha mjenge familia ni swala la kujifunza na kulizoea ndani ya wiki?! Plus katika umri huo unakwenda kwenye ndoa kwa malengo yapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ww ni mwanamke,na umeshafika second half ya miaka 30 yaani above 35+ unaitafuta 40 wewe ndoa achana nayo. Umri wa kutafuta mahusiano serious kwa mwanamke ni kuanzia 17 (kwa wale wenye miili inayokua mapema na kipevuka mapema, ila most ni kuanzia 19 au 20) hadi 24.

Kuanzia 25 hadi 30 hapo wewe kama mtoto wa kike tunaita lala salama zone. Jua unatembelea gari inayoanza kufeli break na muda wowote inaongeza kasi sababu inaelekea korongoni kujibamiza kwenye mawe yaliyo huko chini kina kirefu.

Choice ni yako kuruka ikiwa katika mwendo wastani au usubiri mauti.
 
Kwani ndoa ni kuzaa tu,ndoa ni kuburudisha vikojoleo kiuhuru
Ha ha ha ha ha hicho kitabu kilichokwambia ndoa ipo kaajiri ya kukutanisha vikojoleo nadhani utakuwa ni wa freemasons [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtampata mara ngapi tena? Mnapendaga kuigiza muonekane wema. My dia life is about choice. Nakumbuka sikuwahi kukurupuka kwenye mahusiano nilikuwa nikikaa hata nika 3 yrs bila mtu siku nakuja kupata mtu anakuja exactly kitu moyo unapenda. Wewe tukana upendavyo ila usifikiri kila mtu anakurupuka kuanzisha mahusiano. Kuwa mpole.
Kwa kuwa ni jf dunia ya anonymity you can lie all day. In real life inawezekana sivyo usemavyo.
 
Mm nina ndugu yangu alimuoa mwanamke tena mke wa pili aisee alikua mwanamke wale wanaojua kuigiza upendo aisee utasema huyu mke kweli kumbe alifuata senti za ndugu ikiwa yy hana zake huyo.mwanamke. maisha yameenda baadae pesa ikakata weee mke wa pili mpenda pesa mbona alisitisha ndoa akakimbia akamuacha mke wa kwanza akaenda olewa tena na mtu ambae mambo fresh. Sema Mungu alimlipa maana kazalishwa mtu na jamaa anakataa mtoto c wake akihesabu muda alomuoa anaona kapigwa sasa mtoto anampeleka kwa ndugu yangu nayeye hamtaki maana muda aliomuacha hakuwa na mimba hivyo mwanamke tuseme alikua mdangaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa namna hiyo anakuja na wewe unamuongezea ujauzito mwingine kisha unapiga chini ili awe busy na watoto.
 
Inategemeana na jinsia mkuu.
Kwa wakiume hiyo miaka ni sawa tu kwa wanawake lazma kutakua na ukakasi kidogo mkuu.
Labda aolewe na mtu mzima mwenzie ila vijana watamsumbua sana sana.
Umri huo unapata wapi mwanaume kijana. Cha zaidi atapata wazee wenye matatizo ya kiafya.....
 
Ingekuwa ndio hivyo basi wanawake wote wangengoja hadi huo umri kuolewa .

Unachosema hapo ni sawa na mtu asome awe na degree yake kisha umshauri kuwa asiwe na haraka ya kuomba kazi. Atulie home acheki tu movies, ale bata asubirie hadi afike umri wa kustaafu (kuanzia miaka 50+) then ndio akaanze kutembeza bahasha kuomba kazi kwenye makampuni.

Hivi unadhani kuishi na mtu nyumba moja maisha yako yote kisha mjenge familia ni swala la kujifunza na kulizoea ndani ya wiki?! Plus katika umri huo unakwenda kwenye ndoa kwa malengo yapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ww ni mwanamke,na umeshafika second half ya miaka 30 yaani above 35+ unaitafuta 40 wewe ndoa achana nayo. Umri wa kutafuta mahusiano serious kwa mwanamke ni kuanzia 17 (kwa wale wenye miili inayokua mapema na kipevuka mapema, ila most ni kuanzia 19 au 20) hadi 24.

Kuanzia 25 hadi 30 hapo wewe kama mtoto wa kike tunaita lala salama zone. Jua unatembelea gari inayoanza kufeli break na muda wowote inaongeza kasi sababu inaelekea korongoni kujibamiza kwenye mawe yaliyo huko chini kina kirefu.

Choice ni yako kuruka ikiwa katika mwendo wastani au usubiri mauti.
Maneno yako sizani kama yanafanana na maisha ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom