Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Hivi huyo msukuma alikuwa nafanya kazi za nyumbani kama mwanamke?Daa kuna familia moja dada mwajiriwa mme mzururaji tena kwa gari ya mkewe na kudanga juu, mke anapanda bajaji na daladala na kipigo juu [emoji24][emoji24][emoji24] kipatikane kibanda eti uza tagawane weee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo sheria ya Ndoa hiyo Japo Mume kama hana kazi atapata asilimia ndogo sana na Kama mke akiweza anaweza Kumpa pesa Kidogo kama Mgao wake badala ya Kuuza ili ye abaki na Nyumba, Sheria Ya Ndoa inasema hivi kuhusu Mali za ndoa "Mali za Ndoa ni kile kilichopatikana baada ya Ndoa na kwa Jitihada za Pamoja" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kama Unajiweza ndugu yangu jitahidi ujenge kwanza ndo uoe ili ikitokea mmeachana basi Nyumba haihusiki kwenye mgao maana imepatikana Kabla ya Ndoa na haimuhusu mwenzako

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Huyo itakuwa alitaka auze kienyeji bila kufuata sheria, hata huko wangemuuliza wewe kichwa cha familia unafanya kazi gani yakuingiza kipato mpaka nyumba iuzwe [emoji27][emoji27]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio marriage mammy tatz ni ilimradi inaitwa ndoa. Alikurupuka tu na kusema aolewe. Hahaha mnasemaga wakurya wakorofi sasa sijui huyo msukuma wa mara[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Huyo itakuwa alitaka auze kienyeji bila kufuata sheria, hata huko wangemuuliza wewe kichwa cha familia unafanya kazi gani yakuingiza kipato mpaka nyumba iuzwe [emoji27][emoji27]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wasingeuliza hi hivyo bali wangetaka kujua mchango wake kwenye hizo mali na Wangempa stahiki yake ambayo haizidi 25% or 40%

Na mwanaume unayedhani mkeo hana ishu kisa ni mama wa Nyumbani kama mmejenga pamoja siku Ukimuacha mgao ni hivyo hivyo [emoji3][emoji3][emoji3] Haya mambo noma sana Unaweza sema mtu kafata mali kumbee

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Sasa umeokota jambazi lako kwa sababu unazozijua limekuua unasingizia ndoa?

Ni sawa na kutoa mimba kwa kutumia jiki halafu usingizie na kulipa lawama duka linalouza jiki.
 
Hata wasingeuliza hi hivyo bali wangetaka kujua mchango wake kwenye hizo mali na Wangempa stahiki yake ambayo haizidi 25% or 40%

Na mwanaume unayedhani mkeo hana ishu kisa ni mama wa Nyumbani kama mmejenga pamoja siku Ukimuacha mgao ni hivyo hivyo [emoji3][emoji3][emoji3] Haya mambo noma sana Unaweza sema mtu kafata mali kumbee

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Usicheze na mama wa nyumbani, majukumu ya nyumbani nimakubwa mno, mke akitoka nyumba inakuwa hovyo, na akirudi utajua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.i.p singo maza
single mother au married person, kaiweka vibaya bana, she was but at the time of incidence she was no longer a single mom rather a married woman. May her soul rest in eternal peace and ladies should learn a lesson, no need ya ku force relationship aiseee.

single mothers wako fit halafu most of single mothers wanajielewa coz walishang'atwa na nyoka.

povu niko tayari kupokea.
 
Ndo ivo
 
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.
Sasa wewe ni Mwalimu alafu una uandishi mbovu hivi? ???
Alafu tunaamini utufundishie watoto wetu???
 
Mimi kitu sitofanya hapa duniani, ni kumpenda mwanaume ambae hana pesa.yaani mimi lazima niwe na mwanaume ambae pesa sio tabu kwake, tutakwazana mengine ila sio pesa
Kama baba yako anapesa kama za mume unaetafuta then go back to your father kwasababu hauna shida ya mume ila unatamaa ya pesa.

Na kama baba yako ni kapuku then nini kinakufanya uhisi wewe ni bora zaidi ya mama yako kupata mtu mwenye pesa na haukuwahi tafuta nae hata mia?!

Grow up..... life owes no body anything. You get what is being served.
 
After all mimi sitafuti mme maana tiyari ninae. Sasa huyu alojifanya ana mapenzi ya dhati yupo wapi? Mbona kauliwa?
Wewe acha uongo. Kule juu ulicho comment kimesuggest kuwa hauna mtu unatafuta.... !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom