Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

Ewaaa na wanasema mwana hajafa, sasa mtoa taarifa hapa kanivuruga
Amekufa jamen,polisi walivyomchukua alikuwa anatapika damu.Ivi kesho nduguze wanakuja chukua mwili,huyu mwingine tushazika mboz
 
Sad, alikuwa single mom....watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa...na blah blah kibao.

Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule ...akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima.Kumbe msukuma nae kaenda kimalengo. Mwanamke kanunua uwanja kaanza kujenga bwana kaz yake kusimamia mama yupo job. Mara msukuma kaanza mbwembwe, hamtaki mtoto aliyemkuta, anamhasa mkewe ampeleke kwa baba ake. Mke alishatelekezwa muda huyo baba anamtoa wapi.

Mwalimu ikabidi amwambie bas tuachane, mwanaume kamwambia ukitaka tuachane bas tuuze nyumba tugawane pesa ndo tuachane. Mwanamke kasema siuzi coz ni yangu na nimejenga kwa ajili ya watoto. Ugomvi huo umesababisha mwanaume ajifanye ameaga anaondoka kumbe kaenda kunoa panga kitaa. Ndo ivo mwanamke kaoga, ainame apakae mafuta kakatwakatwa kama mnyama.

Sad,sad,sad....yaan kumbe jamaa nae kanywa sumu now tumepata taarifa nae kakata moto huko hospital. SINGLE MOMZ MSIFORCIWE....MABACHERORS MSILAZIMISHE NDOA. MARRIAGE IS NOT EVERYTHING! Inyala mbeya.

Misukuma na mimtu ya Maeneo hayo ni ya hovyo sana
 
Je ukimzidi mwanamke? Use common sense.
Mkuu hawa viumbe wakikulisha siku saba tuu anaanza kukuchoka..akikuzidi kioato anabadilika,ninasema hivi kwa sababu na mimi ni muhanga wa hili jambo,nilimtafutia wife kazi akapata hela akawa ananidharau sana ikafikia kipindi hata mbunye sipewi.mwishiwe nikaambiwa tuachane,hatuendani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom