Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

Madent wenyewe hawajatulia nowdayz we fikiria watt wanarud shule wakiskia singeli wanainama wanakatika sometime vituon huwa wanasubiri magari yny mziki ndo wapande. Uku nilipo kuna eneo uwa wanatega kabisa mida ya saa1 kwenda mbele wanajinadi kwa wanunuaj ila mpk uwe mjanja kuwajua hii nmemckia mzee m1 hv majuz anasema anaendaga kuvila, Om Napo kuna hao wawil wanatoka kwao kurudi saa6 uck mama yao anawafungulia mlango wanalala ni wasichana hao m1 wameacha shule sahv.
Hii ya kusubiri magari yenye muziki ipo sana Chuga
 
Mtu akivua uniform anashonea na nywele mkia wa sarafi top suruali ya jinsi anabadilika kila kitu ukimuuliza unasoma wapi anakurusha madarasa anakwambia yupo IFM Sasa mimi jamani nakosa gani hapo jamani kwako kashasha
 
Mkuu binti wa umri wa 14-17 anajulikana tu kama si kwa umbile basi akili yake.
 
Sawa mkuu binafsi nimekuelewa ila sasa mkuu tukihitaji wewe uwe mbadala wao utatukubalia kweli?
 
Back
Top Bottom