Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

Unataka matusi na kudharirishwa hapo sasa. Kwanza uwezi jua kama ni mwanafunzi pili yeye vinajidai kubehave kama viwatu vizima, salamu utasikia "mambo" au "mambo we kaka" wakat ukikaangalia umekapita age kama miaka 10
Mimi nawaulizaga mambo yangu utayaweza..?, Maana nikijibu poa nimemla
 
Madent wenyewe hawajatulia nowdayz we fikiria watt wanarud shule wakiskia singeli wanainama wanakatika sometime vituon huwa wanasubiri magari yny mziki ndo wapande. Uku nilipo kuna eneo uwa wanatega kabisa mida ya saa1 kwenda mbele wanajinadi kwa wanunuaj ila mpk uwe mjanja kuwajua hii nmemckia mzee m1 hv majuz anasema anaendaga kuvila, Om Napo kuna hao wawil wanatoka kwao kurudi saa6 uck mama yao anawafungulia mlango wanalala ni wasichana hao m1 wameacha shule sahv.
Huyo mzee anaishi wapi? Kama ni dar, basi ni sehemu gani?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom