Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mimi nasemaje ,kuisapoti nchi yangu ni kununua jezi tu ila kweny uzalendo tusipangiane,siwezi fananisha hela na vitu vya kijinga

Naweka hela kwa Algeria kama nilivoweka kwa Kenya na senegal
 
Bashite anapiga hesabu hapa
IMG-20190630-WA0015.jpeg
 
Yaani acha tu Mtani. Ila watakaokuja na kelele Mtani wote sitawajibu ata. 😀😀😀😀

Sababu nilichokiona humu ukiwa against na uzi unavyosema hata kama sio mpenzi wa siasa wanajua basi we ni CCM.
Kweli kabisa Shadeeya
 
Simuoni kocha na wachezaji ila Mako na wachezaji
 
algeria piga hao..... [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom