....Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.
Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.
Amen.
Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Tatizo wanaccm wanashindwa kujua mipaka ya siasa. Wao kila kitu ni siasa. Wampeleke Jecha akafanye mambo. "Taifa Stars itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi".
Wao walidhani mpira ni siasa. Nitaishabikia Taifa Stars ile isiyokuwa na chama yaani ya watu wote. Hii naichukulia kama CCM Stars.
Ushindi wa Taifa stars ni ushindi wa CCM,halikadhalika kushindwa kwakwe ni kushindwa kwa ccmInafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.
Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.
Amen.
Ndio viatu ambavyo vina gundu hivyoJana alienda kuwanunulia viatu wachezaji kwenye malls za Cairo.. Sasa sijui IPO kwenye program ya kocha ama ...!!
Km ndege za ccm acha tu zidondoke...Kuna watanzania wanaomba hata haya mandege yadondoke wafurahi... duniani kunavituko
Siasa za CCM ni Mchezo mchafu na Mpira ni mchezo wa kiungwana na kistaarabu, Huwezi vhanganya Mafuta na Maji wajipange waache mafuta peke yake na maji peke yake.Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.
Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.
Amen.
Lipumbafu weweInafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.
Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.
Amen.
Akili ndogo wewe hamia AlgeriaInafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.
Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.
Amen.
Umeona eeeh
Wacha wawabamize tu
Tunaanza na sports mengine yatafuata
Wametuona hamnazo
Nchi imegawanyika kuliko wanavyofikiri
Ya Sudan yanafurahisha lakini yanasikitisha
Ukombozi si kwa kijiko cha uji lazima kuji$$&&&& muhanga
Kuna watanzania wanaomba hata haya mandege yadondoke wafurahi... duniani kunavituko
Sisi 3 - DAB 0
They got fu.... Over and over again???.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1476]cute b[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha tatizo uliniambia niachane na yale makitu... Ile ningewaliza sana akina kanjibah.They got fu.... Over and over again???.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitabiri hata hivyo. Au lilikuwa pozi tuu la pic?