herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,743
Wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Oooh! Sikuwa nalijua hilo Mtani.Hii kauli ni ya makonda na wala sio ya serikali: unajua anapenda sana kumfurahisha mkulu sasa kwenye kujipendekeza kwake kuna pitiliza mpaka unakuta unakuta anakengeuka na kuongea vitu visivyo na mantiki; sasa hata bunge zima ni kama linamchukia.
Ila niliona sehemu wanasema mpaka watakapokaa kuijadili na wahusika kwani mpira hauendeshwi kwa kauli za mdomoni bali kwa kanuni na taratibu ambazo huwa wanasema ni lazima ziwe kimaandishiSerikali wa naweza tuharibia mpira kabisa
ona kauli ile kama ile ya mwakyembe kwamba wachezaji wa kigeni mwisho kucheza wa 5. siku zote tumekuwa tukitumia wachezaji wa nyumbani taifa stars ilifika wapi;
Hahahahaa. Hilo msahau Mtani kwani patachimbika msimu ujao.Hahaha au joto la Brazilian limemwingia pia.
ama lengo ni ku waakoa na hamsa tulizopanga kuwapiga mwaka huu
Duuh! Niulize Mtani kwani bado yupo Misri?hahahaha; kaninong'onesha kaniambia bashite arudi bongo walau hata taifa stars ipate point mmoja.
Kama hufanya kusudi kujitoa akili, basi ni hali halisi....Kwani wewe huwajui nyumbu?
Yupo anaendeleza uhamasishaji;Duuh! Niulize Mtani kwani bado yupo Misri?
Daah! Haya bana Mtani wacha niisubirie saa nne (22:00hrs) nione Watanzania wenzangu watayaaga mashindano wa style gani.Yupo anaendeleza uhamasishaji;
Juzi kawachukulia njumu mpya za adidas kila mchezaji;
Hahaha ushauri wangu akirudi apumzike
apunguze publicity awe kama mrisho gambo mkuu wa mkoa wa arusha
Pacha siku ukiona nimeandika niko upande wa stars ujue sio mimi,kuna mtu atakua kahack hii ID 😂😂Hahahaaa. Pacha wangu joanah tutaendelea kuwa naye japo namvizia tu siku atakayokuwa upande wa Stars. 😅😅😅😅
Hahahaaa. Nimechekaa.Pacha siku ukiona nimeandika niko upande wa stars ujue sio mimi,kuna mtu atakua kahack hii ID 😂😂
Hii inaitwa spot the "ball"Mcheza rede wa CCM stars a.k.a mwendawazimu mlinda goal naye wamooo,kha
si mtoto wa 1995 huyu?picha kwa hisani ya dada langu la nguvu, sky eclat
View attachment 1142939
hahaha.... swali chonganishi hili.
Ni kweli pachaHahahaaa. Nimechekaa.
Ila usifanye hivyo Pacha sababu mwisho wa siku Taifa Stars itabakia kuwa ya Watanzania wote na si ya mtu mmoja au Chama kimoja.
Mpita njia yule Pacha.Ni kweli pacha
Lakini taizo Bashite kujihusisha nao ndio ameharibu uhusiano wangu na stars
Akipita niambie nirudi Tanzania 😂😂Mpita njia yule Pacha.
Mpita njia yule Pacha.
Ewaaaaa! Japo hata sasa ungerudi sababu zile ni kauli katika harakati za kuutetea ugali na si vinginevyo.Akipita niambie nirudi Tanzania 😂😂
unajua huyu kondakta anatufanya tuikane nchi yetu..... halafu samata naye kuna kauli alizitoa sasa ikabidi niwe mkimbizi senegal, kenya na sasa algeria.Hahaha hawa Waalgeria waswahili sijui wametoka wapi?