FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Akili kisodaSijui yanalazimishwa kuongea.
Na huyu samata anajipendekeza nini hivyo? Na wakati ni mchezaji mkubwa tuu huko .
Akili kisodaSijui yanalazimishwa kuongea.
Na huyu samata anajipendekeza nini hivyo? Na wakati ni mchezaji mkubwa tuu huko .
... yaani mkuu hizi chuki humu ni ajabu kweli yani. Watu ni kuropoka tu, anyways to each his own!!East Africa tz tunaropokwa sana,
Chuki dhidi ya Taifa Stars inareflect tabia zetu.
Kila la kheri Taifa Stars.
Akili ndogo umejiweka kwa Watu wenye akili kubwa mwishowe umekosa cha kupostinafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho CCM hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
Usiwachukie hivyo Watz wenzako mkuu hao ni vijana wawakilishi wa hili taifa huko Afcon usiwatusi.Algeria piga fisi maji hao hata bao 11 wagawane kila mmoja lake.
Ha ha ha ha ha haWe are together with Taifa Star, kwenye shida na raha... God Bless Taifa Star, God Bless Tanzania... Taifa Star Make Country happy again.....
Hao wanamwakilisha Magufuli na Serikali ya awamu ya tano. Rejea Bashite alichosema "Timu itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi" Ulimsikia pia Samata kipindi anahojiwa?Usiwachukie hivyo Watz wenzako mkuu hao ni vijana wawakilishi wa hili taifa huko Afcon usiwatusi.
Kama ilikubali kwa Kenya. Algeria hata usipoomba hapo lazima CCM stars apigwe za kutosha. Senegal kapigwa 1-0 sembuse CCM stars?Sijui dua itakubali
Basi inshallahKama ilikubali kwa Kenya. Algeria hata usipoomba hapo lazima CCM stars apigwe za kutosha. Senegal kapigwa 1-0 sembuse CCM stars?
No such thingWhat if CCM wins tomorrow ?
Amen mkuu
Mungu atasaidia kipigo cha mbwa koko kwa wanaCCM
Sanchez magoli kesho CCM mkishinda nikupe nini?
Utakua ccm weweKusema T'Stars ni ya Chama fulani,,, ni fikra binafsi na ushabiki fulani...
Kujitekenya - ukacheka, ni mambo ya kilimwengu (raha jipe mwenyewe)., lakini kujifinya - ukalia, jua una tatizo.
Ulimwengu wa Soka ni mchakato, T'Stars ni yetu. MUNGU ibariki Taifa Stars. MUNGU ibariki TANZANIA
Ni kuboa wanaboa,too much.... yaani mkuu hizi chuki humu ni ajabu kweli yani. Watu ni kuropoka tu, anyways to each his own!!
Mpe 0713Amen mkuu
Mungu atasaidia kipigo cha mbwa koko kwa wanaCCM
Sanchez magoli kesho CCM mkishinda nikupe nini?
Jecha angeleta ukombozi kwa kweli 😂😅Tatizo wanaccm wanashindwa kujua mipaka ya siasa. Wao kila kitu ni siasa. Wampeleke Jecha akafanye mambo. "Taifa Stars itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi".
Wao walidhani mpira ni siasa. Nitaishabikia Taifa Stars ile isiyokuwa na chama yaani ya watu wote. Hii naichukulia kama CCM Stars.