Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Toka lini bombadia ikashindana na baiskeli?kwani makonda yeye anaujua huo
Mpira?
 
Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.

Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.

Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.

Amen.
Mungu tuepushe na huu mpasuko unapelekea mpaka mambo ya kitaifa kuwa ya kundi fulani ndani ya Taifa. Marehemu baba wa Taifa angekuwa hai, angekemea haya mambo kwa nguvu zake zote sijui wastaafu wengine kwanini wanakaa kimya kuona Taifa letu linavunjika vipande vipande
 
Cheki CCM ilivyogaragazwa hapa - ni kipigo hadi unachakaaa !!

Mpira hauna chama!! Are you in the cave?? Come out from the cave to see reality outside!
 
Tanzania nchi pekee duniani timu ya Taifa imeveshwa joho la chama.Indeed the party is supreme.
 
Wametekeleza vyema ilani ya CCM, hiki chama hakijawahi kuwa na zuri kwa watanzania kabisa...viatu vya bashite wampe arudi navyo kwake.
 
Mungu tuepushe na huu mpasuko unapelekea mpaka mambo ya kitaifa kuwa ya kundi fulani ndani ya Taifa. Marehemu baba wa Taifa angekuwa hai, angekemea haya mambo kwa nguvu zake zote sijui wastaafu wengine kwanini wanakaa kimya kuona Taifa letu linavunjika vipande vipande
Haya mambo hata angekuwa Nyerere aingeweza ikiwa wananchi hawatasikilizwa? Umejua sababu ya huo mpasuko? Ukijua haina haja ya Nyerere hata wewe unaweza kufix kama upo kwenye uongozi.
Ukiona mtoto wako anakuchukia usianze kumkemea na kumpiga kisa wewe ni mzazi wake. Angalia shida iko wapi yeye au wewe? Mtu hawezi kuchukia hivi hivi kuna sababu
 
Back
Top Bottom