[emoji23][emoji23][emoji23]ndio
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio
Umesahau watz kwa unafk ndo hulka yetuSijui yanalazimishwa kuongea.
Na huyu samata anajipendekeza nini hivyo? Na wakati ni mchezaji mkubwa tuu huko .
[emoji3][emoji3][emoji3] kwanini kwani na ndugu zake nao wako ivo?
Kakamatika haswaa.Tatizo lake akubaligi ashindwe
Ila this time kakamatika
Mpira hauna porojo kama alizo zizoea
Kwaiyo yeye ndio kifungua mimba na kitinda mimba?kwani ana ndg sasa
Tumwache apumzike bhana. Kule fisiemu hawajaenda na polisi... hakuna goli la mkono
Maana sione cha kumfanya ashoboke shoboke kijinga. Unafiki kweliUmesahau watz kwa unafk ndo hulka yetu
Kwaiyo yeye ndio kifungua mimba na kitinda mimba?
[emoji3][emoji3][emoji3]ndugu zake kina le kibamia,j muroMie ñajua hana kaka wala dada..watoto walikua wanakufa.a kasurvive bashite
hater
Kwa mechi ya kesho ni ngumu Taifa stars kushinda kama ilivyo ngumu kwa Tulia kushinda ubunge Mbeya mjini 2020.Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Iwe kweli sasa sio kama ahadi za kiccm, bata flan tu hiv uendelee na safariYaan nahesab sik huku mm..nimejichokea balaa...hope 10th ntapita hapo aisee .nile bata kidg niendelee na safar
najuana na mafundi kama watano waliojenga kasri lake pale igoma mwanza ambalo furnitures zake tu zimecost 54 millions ths,ni hivi mama yake,mrs albert bashite hana shida kabisa ni mtu poa na wamefanana hadi sura na shape la msambwanda ila mzee albert bashite ex soldier aliyepigana vita ya idd amin ana roho mbaya sana iliyorithiwa na Daud sema yeye anajua kuificha kwa kivuli cha dini![]()
ndugu zake kina le kibamia,j muro![]()
Unatafutwa[emoji41]Tatizo lake akubaligi ashindwe
Ila this time kakamatika
Mpira hauna porojo kama alizo zizoea
Iwe kweli sasa sio kama ahadi za kiccm, bata flan tu hiv uendelee na safari