Tuiunge mkono timu ya CCM leo inacheza na Algeria.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
Pamoja na kuwa leo timu inatekeleza ilani ya Chama cha mapinduzi lakini ni ndugu zetu tuwaombee waishinde Algeria (Mbweha wa jangwani) kwa angalau (3 - 0) tupate nafasi ya best looser, wakati huo tusisahau kuwaombea majirani zetu Kenya nao wana kibarua kizito dhidi ya Simba wa Teranga Senegal.

Pongezi kwa Uganda kwa kuiwakilisha vyema EAC.

Kila la heri CCM Stars.

IMG_20190701_092214.jpg
 
Mkuu yaani unataka tuunge mkono hawa mashetani? Juzi yamemvua lissu ubunge, binafsi siwaungi mkono ni bora tu warudi home kuja kutusaidia kupambana na hali😬

Kuna kitu niliwahi kuwaza/tafakari.... kuna uwezekano mambo mengi hayaendi sawa kwa kuwa sala za watized wengi zinataka ccm ifeli thats why juzi makonda alipoenda kule sala/nuio la watu wengi lilitaka afeli ili asisumbue watu kwa maneno yake ya kejeli.

So, nina amini sasa, kila jambo wanaloshiriki ccm halitafanikiwa...... na endapo wataondoka madarakani, basi mambo mengi yataenda vizuri coz manuio/sala za watized wengi zitakuwa positive. chanting ina nguvu kubwa sana hasa idadi ya watu inapoongezeka hata Mshana Jr anajua na anaweza kueleza zaidi na kwa kitaalamu.
 
Team mali ya ccm vs Algeria
Hivi tangu afcon ianze kuna mtu ashawahi kachezea mkono wa nyani aka magoli 5

Ova
Halafu watu utakuta wanalia eti Mungu kawatupa. Sasa kwa mfano mechi ya Algeria vs TanzaniaCCM unaachaje kuweka mzigo wa maana? Yan leo naweka mzigo halafu natangulia kwa wakala ku withdraw kabla mechi haijaanza maana ni uhakika. Tanzania nawapendaga hawajawahi kuniangusha.

Tanzania hata kwa Kenya niliwaambia watu "Mtoto halali na hela" mwishoni wakakubali!
 
Matokeo yanaonyesha ilani imetekelezwa na maksi ni ziro, kwa mujibu wa data kutoka Cairo,Misri kwenye mashindano ya AFCON
 
Game si kutiana itajiri hizi wakuu....

Kanjibai angejua leo anavyotaka kunyooshwa asingejichanganya kuziweka hizi.

Alafu kenya na tz zinaleta odds2 maaana ake pesa unayoweka inajiduble...

Natia 500000
Dadek.
No uoga
 
Nawakumbusha tu wabongo kuwa hapo ukiweka laki 5 basi baada ya mechi unaingiza mshahara wa Makonda wa mwezi mzima. Umaskini tunautaka wenyewe!
Screenshot_20190701-100118.png
 
Attachments

  • Screenshot_20190701-100118.png
    Screenshot_20190701-100118.png
    41.4 KB · Views: 15
Kuna kitu niliwahi kuwaza/tafakari.... kuna uwezekano mambo mengi hayaendi sawa kwa kuwa sala za watized wengi zinataka ccm ifeli thats why juzi makonda alipoenda kule sala/nuio la watu wengi lilitaka afeli ili asisumbue watu kwa maneno yake ya kejeli.

So, nina amini sasa, kila jambo wanaloshiriki ccm halitafanikiwa...... na endapo wataondoka madarakani, basi mambo mengi yataenda vizuri coz manuio/sala za watized wengi zitakuwa positive. chanting ina nguvu kubwa sana hasa idadi ya watu inapoongezeka hata Mshana Jr anajua na anaweza kueleza zaidi na kwa kitaalamu.
Mshana Jr kuna watu hawajui kuwa ku navigate gizani ni taaluma kongwe, kwa hisani ya niliyemnukuu tafadhali shusha nondo (KATIBA INAKULINDA)
 
Halafu watu utakuta wanalia eti Mungu kawatupa. Sasa kwa mfano mechi ya Algeria vs TanzaniaCCM unaachaje kuweka mzigo wa maana? Yan leo naweka mzigo halafu natangulia kwa wakala ku withdraw kabla mechi haijaanza maana ni uhakika. Tanzania nawapendaga hawajawahi kuniangusha.

Tanzania hata kwa Kenya niliwaambia watu "Mtoto halali na hela" mwishoni wakakubali!
Hahaa hii ndiyo mechi ya kubet kwa uhakika?
 
Kuna kitu niliwahi kuwaza/tafakari.... kuna uwezekano mambo mengi hayaendi sawa kwa kuwa sala za watized wengi zinataka ccm ifeli thats why juzi makonda alipoenda kule sala/nuio la watu wengi lilitaka afeli ili asisumbue watu kwa maneno yake ya kejeli.

So, nina amini sasa, kila jambo wanaloshiriki ccm halitafanikiwa...... na endapo wataondoka madarakani, basi mambo mengi yataenda vizuri coz manuio/sala za watized wengi zitakuwa positive. chanting ina nguvu kubwa sana hasa idadi ya watu inapoongezeka hata Mshana Jr anajua na anaweza kueleza zaidi na kwa kitaalamu.
Afadhali, umesaidia kumuita angalau aje atuelezee kiroho zaidi, ila ni kweli sala na manuio uliosema yakiwa mengi yahusuyo chukizo hushinda kheri, watu wengi wakiomba dua mbaya huwa, na watu wengi wakiomba dua nzuri huwa, sasa hii ya kwetu ni kuwa ccm isifanikiwe, na ni kweli panapokua na ccm jambo hua haliendi, sio mpira tu, hata utungaji wa sheria, miswada ya dharura huko bungeni, makinikia nk😂😂😂
 
Pamoja na kuwa leo timu inatekeleza ilani ya Chama cha mapinduzi lakini ni ndugu zetu tuwaombee waishinde Algeria (Mbweha wa jangwani) kwa angalau (3 - 0) tupate nafasi ya best looser, wakati huo tusisahau kuwaombea majirani zetu Kenya nao wana kibarua kizito dhidi ya Simba wa Teranga Senegal.

Pongezi kwa Uganda kwa kuiwakilisha vyema EAC.

Kila la heri CCM Stars.

View attachment 1143393
Uwepo wa Bashite tu kwenye hii team tayari ni NAJISI...
Go Kenya Go.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom