Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,138
- 122,600
Hahahaaa. Sawa Mkuu.Hawa Waalgeria wakikuelewa niite
Hahahaaa. Sawa Mkuu.Hawa Waalgeria wakikuelewa niite
unajua huyu kondakta anatufanya tuikane nchi yetu..... halafu samata naye kuna kauli alizitoa sasa ikabidi niwe mkimbizi senegal, kenya na sasa algeria.
Nchi ya ccm.Watanzania kimsingi exiles nyumbani,Wametengwa kabisa.Mjirudi sasa. Nchi n yenu na siyo yake
Unaweza kuwa wewe ndio bashite mkuu, endelea tu kuitafakari.


watu wa ccm ni zehro ninyiEwaaaaa! Japo hata sasa ungerudi sababu zile ni kauli katika harakati za kuutetea ugali na si vinginevyo.
Usijali pacha. 🙏🙏🙏
Nitajirudi baada ya kipigo kitukufu kutoka kwa hawa mbwa mwitu wa algeria....Mjirudi sasa. Nchi n yenu na siyo yake
KitumbuaAmen mkuu
Mungu atasaidia kipigo cha mbwa koko kwa wanaCCM
Sanchez magoli kesho CCM mkishinda nikupe nini?
FYI, Haiwezekani.Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Itakuwa sawa na kumkuta kunguru akilea vifaranga vya kuku.Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Mkuu, acha kujishushia heshima, kutumia ID fake kusikufanye kuwa mjinga na asiyetumia akili.watu wa ccm ni zehro ninyi
I'd fake ni yako ww lofaMkuu, acha kujishushia heshima, kutumia ID fake kusikufanye kuwa mjinga na asiyetumia akili.
Unazidi kuonyesha IQ yako mkuu, pole sana!!I'd fake ni yako ww lofa
Nitajirudi baada ya kipigo kitukufu kutoka kwa hawa mbwa mwitu wa algeria....
Rich acha masikhara kabisaalawama atatoa kwa wapinzani wa serikali na kusema ndio chanzo cha taifa stars kukanyagwa goli 3
Thank you.*tusimsumbue