Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,543
hahaha na ulivo kapole mwenyeweWeee wakiamka waalgeria sijui kama nitakuwa salama. Hahahaaaaa.
hunaga makuu kabisa mtani
hahaha na ulivo kapole mwenyeweWeee wakiamka waalgeria sijui kama nitakuwa salama. Hahahaaaaa.
Yaani acha tu Mtani. Ila watakaokuja na kelele Mtani wote sitawajibu ata. 😀😀😀😀hahaha na ulivo kapole mwenyewe
hunaga makuu kabisa mtani
Stars ni timu la kipumbavu kama alivyobashite! Ni kichwa cha mwendawazimu. Lazima wanyolewe bila maji.Naona kuna tatizo mahali flan. Iweje ameenda kiongozi kwenda kuwatia moyo nyiye mnaichukia timu yetu?? Mbona walienda wabunge wa vyama mbalimbali hamkuwazomea??
Jamani, tuache chuki binafsi tujiunge kwa pamoja kuiombe dua njema Taifa Stars yetu. Hivi tuseme; Kama mchawi wetu alifanya vyema halafu ghafla mkasikia kuwa Mbweha wa jangwa wameuogopa mwanga wa Nyota yetu halafu wakachapwa 1 - 0 tu mtalala wapi nyiye wenye roho ya korosho??
Nawaombea Taifa Stars nyota iwake wawalambe 1 - 0 hao mafisi wa jangwani. Sina chama ila ushindi wa Stars ni wetu sote ila kama ni kweli, warudishiwe ile chenji yao waliyoibiwa
Nzuri
hahaha ntakuwepo kukulinda mtani;Yaani acha tu Mtani. Ila watakaokuja na kelele Mtani wote sitawajibu ata. 😀😀😀😀
Sababu nilichokiona humu ukiwa against na uzi unavyosema hata kama sio mpenzi wa siasa wanajua basi we ni CCM.
Hahahaa. Hivyo mumewasusa Mtani.Taifa stars na TFF wapambane na hali zao tu; FIFA walilionaga hili mapema kwamba michezo isichanganywe na siasa na wala kuingiliwa na serikali.
Hahahaaa. Wengi sio wanamichezo Mtani ni wana CDM hivyo baadae Stars tukishafungasha virago wanarudi Siasani na majukwaa mengine.hahaha ntakuwepo kukulinda mtani;
jukwaa la sports tumeongeza wadau wa kutosha
hahahaha yule jamaa sijui ana niniHahahaa. Hivyo mumewasusa Mtani.
Japo nawaza mbona kabla ya kauli ya yule wa Daslam wote mlikuwa Stars kwenye ile mechi ya kwanza?
goli 9 mbona kidogo sana arifu???
hahaha sport lady unabaki kuwa peke yako as usualHahahaaa. Wengi sio wanamichezo Mtani ni wana CDM hivyo baadae Stars tukishafungasha virago wanarudi Siasani na majukwaa mengine.
Ni kweli usemacho na anajulikanaga mbona sababu si mara ya kwanza kutoa kauli ka hizo.hahahaha yule jamaa sijui ana nini
au haogagi maji ya bahari.
Watanzania wengi wanaipenda sana taifa stars mtani ila huwa kuna maswala sensitive sana ambayo ukiyagusa unagusa hisia za watu mambo kama dini, kabila, na sasa siasa ni hatari sana mtani. Afu na jamaa huwa ni mbovo kwenye speech si MNA kumbuka hata nyinyi pale diamond jubilee mlimbania nafasi ya kuzungumza. Kuna hekima na busara flani anazikosa
Kiongozi unavyoongea epuka sana toka kauli zinazo base katika hayo makundi utaleta mtafaruku. Ndiyo haya unayo yaona hapa.
Mungu awajaalie mbweha hao.mbweha the fox wa jangwani toka Algeria.
hahaha.... swali chonganishi hili.Wewe ni Mualgeria?
Hii kauli ni ya makonda na wala sio ya serikali: unajua anapenda sana kumfurahisha mkulu sasa kwenye kujipendekeza kwake kuna pitiliza mpaka unakuta unakuta anakengeuka na kuongea vitu visivyo na mantiki; sasa hata bunge zima ni kama linamchukia.Ni kweli usemacho na anajulikanaga mbona sababu si mara ya kwanza kutoa kauli ka hizo.
Hivyo nawaza Akiondoka pale kwenye kile kiti wakakaa wengine hii kauli itafutika au ndio itatumika kuichukia Taifa Stars miaka nenda rudi?
hahahaha; kaninong'onesha kaniambia bashite arudi bongo walau hata taifa stars ipate point mmoja.Hahahaaa. Pacha wangu joanah tutaendelea kuwa naye japo namvizia tu siku atakayokuwa upande wa Stars. 😅😅😅😅