Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Ni kuboa wanaboa,too much.
Wanaboaje wakati ndiyo ukweli wenyewe? Acha watu wafunguke ili serikali ijue wapi inakosea. "Taifa stars itashinda kama vile inavyoshinda kwenye chaguzi"
Samata naye anasema timu inamwakilisha Magufuli na serikali ya awamu ya tano. Sasa utasemaje watu wanaboa wakati timu ni ya CCM na ya Magufuli?
Wao walikuwa huru na hawakujua kama watawaboa watu kwahiyo acha watu wazungumze kwa sababu nao hawajui km wanawaboa watu
Algeria piga hao CCM Stars 7-0 ili watie akili
 
... tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.

Kuishabikia Taifa Stars kwenyewe ulikuwa ni uzalendo wa hali ya juu kwa sababu kiukweli timu yetu haiko vizuri kutokana na maandalizi ya zimamoto kila wakati. Ila niliposikia imekuwa CCM Stars nikawa relieved, yaani mtu unashabikia Algeria ukijua itashinda. Sawa na kuwa shabiki wa FC Barcelona, hakuna presha.
 
Aaaaaah we wafungwe tu maana huwezi kusema ni timu ya ccm wakati ni timu ya taifa aache ungese
Naona kuna tatizo mahali flan. Iweje ameenda kiongozi kwenda kuwatia moyo nyiye mnaichukia timu yetu?? Mbona walienda wabunge wa vyama mbalimbali hamkuwazomea??
Jamani, tuache chuki binafsi tujiunge kwa pamoja kuiombe dua njema Taifa Stars yetu. Hivi tuseme; Kama mchawi wetu alifanya vyema halafu ghafla mkasikia kuwa Mbweha wa jangwa wameuogopa mwanga wa Nyota yetu halafu wakachapwa 1 - 0 tu mtalala wapi nyiye wenye roho ya korosho??
Nawaombea Taifa Stars nyota iwake wawalambe 1 - 0 hao mafisi wa jangwani. Sina chama ila ushindi wa Stars ni wetu sote ila kama ni kweli, warudishiwe ile chenji yao waliyoibiwa
 
Daah! Hatimaye nimefika mwisho. Nawaza tu Stars akipata hata suluhu watu si wataumwa humu. Teh teh teh.
NB: Mtanzania mimi sio mwanasiasa jamani hivyo sitaki povu

Povu la nini kwani?
 
Daah! Hatimaye nimefika mwisho. Nawaza tu Stars akipata hata suluhu watu si wataumwa humu. Teh teh teh.

NB: Mtanzania mimi sio mwanasiasa jamani hivyo sitaki povu
hahahaha hutaki nini mjukuu wa kilomoni

20billion rasmi Leo.
 
Back
Top Bottom