Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile Algeria na Kenya kutumia yanayoendelea huko Misri kuleta Umoja wa Kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana CCM tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu.

Kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka Algeria. Mara ya mwisho CCM hao wa Lumumba walipigwa 7-0.

Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.

Amen.
Mungu yupo kasikia
 
Amunike atuachie ccm staa yetu, lengo lilikuwa kushiriki baada ya miaka 39 na hilo amelitimiza, kushindana tutashindana na upinzani tukiwa kamili na jecha, policia, tume ya uchaguzi na deds.
 
Back
Top Bottom