Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
Hapa hata huelewewi Sam anaongelea nini. Hebu tembelea www.bossip.com....
Naona unafanya kazi nzuri sana ya kuwa msemaji wa watu.
Hapa hata huelewewi Sam anaongelea nini. Hebu tembelea www.bossip.com....
sam said:Hii forum siyo sehemu ya kutafuita wanaume...umesikia wewe malaya usiniingilie anga zangu
Labda haijui www.eharmony.com...
Ilongo, usiumize kichwa na hii habari. Picha za CMB zimetoka jikoni, kwenye camera...with date, day, hour, and minute. Kilichobaki sasa ni comedy tu. Just play it along.
I wasnt baking up any body, nilichojaribu kufanya ni kutumia resources nilizonazo kuwasaidia mkandara na mugongo x2. so you can just decide on your own who's right and who's wrong
I wasnt baking up any body, nilichojaribu kufanya ni kutumia resources nilizonazo kuwasaidia mkandara na mugongo x2. so you can just decide on your own who's right and who's wrong
Kwani ni picha zote ambazo hupigwa huwa na tarehe na muda? Hebu tembelea kule kwa Michuzi uone kama picha zake zina tarehe na muda? Au tembelea Whitehouse.gov uone kama picha zote zina tarehe na muda wa kamera ilipopiga. Na kwa nini humwamini CMB? Wewe umejuaje kama haaminiki? Na wewe unapompinga mtu unatoa ushahidi wako kwa nini unampinga. Haya mambo ya kusema hadi nione hiki..hadi nione kile....are not acceptable. Saying you don't believe CMB is not enough. You need to disprove him by presenting yours. If you don't have anything to counter his, you'd better shuuussh.
Wewe una mamlaka gani kusema ushahidi aliotoa ni dhaifu? Au kwa vile hakuna imprint ya tarehe na muda kwenye picha yenyewe? Kama ni hivyo basi na wewe hoja yako ya kusema kwamba picha za CMB hazithibitishi tarehe na muda zilizopigwa ni dhaifu vile vile kwa sababu si lazima na si kamera zote zenye kufanya hivyo. Unapodai ushahidi kwa watu ni lazima na wewe uwe na wa kwako unaopingana na ule uliokwishatolewa. Haya ya kusema huamini bila kutoa ushahidi wako is lame. Ungetoa za kwako zinazopingana na za CMB ungefunga mjadala. Next....
lets get this Straight, so your source(s) gave you the time the pics were taken? Inaonekana hawa jamaa kazi yao hawaifanyi kwa ufanisi(wanatoa nyeti sasa)..Unless na wewe ni part ya hao watunza nyeti...
Sijafungua thread hii kwa muda mrefu na nimeshangaa kukuta imeshakuwa ndefu hivi. Pamoja na kwamba sikuweza kusoma posts zote hapo katikati, nimefurahjishwa na jinsi mwafrika wa Kike na Bi. Senti hamsini walivyomwaga lazi hapa.
Nawapongeza sana kwa kuendeleza wembe wa JF: Hoja zenye ushahidi wa kutosha (hata wa kimazingira).
Miezi michache iliyopita tuliwahi kujiuliza kama JF inapata michango ya akina dada. Mama Lao akasema yupo ila posts zinazotolewa huwa zinamkatisha tamaa hata kuchangia. Siku za hivi karibuni kumekuwa na dalili kuuwa akina dada wamekuwa active sana na wanajiunga na kijiwe hiki kwa kasi ya kutosha. Naomba akina kaka tuendeleze utamaduni wetu wa kubishana kwa hoja bila kutumia matusi ya mitaani hasa kwa vile hatujuani; wengine wanaweza kuwa ni watu wakubwa sana kwetu kiumri.
Nitatoa mfano moja wa jinsi ninavyopata hizo tarehe na saa ya picha nilizotoa kupitia bulogu ya michuzi kwahiyo soma chini utaona
sikuwa nafungana na upande wowote, bali nilitaka watu waache kubishana, kwahiyo nikatoa ushaidi wangu, sasa ni jinsi gani utaniamini i dont know, labda unipe email yako nikuforwdie picha hizo kwenye kutoka ikulu.
Sasa twende kwenye jinsi nilivyopata tarehe na saa katika hizo picha.
1. Hebu twende katika hii link http://www.issamichuzi.blogspot.com
2. Nenda chini mpaka utakapokuta il "msumbiji" (au unaweza kuclick hapa http://issamichuzi.blogspot.com/2007/07/msumbiji.html)
3. Click ile picha ya chini kabisa inayoonyesha Benz la JK (kumbuka, click ile picha)
4. Save ile picha "jk1.jpg kwenye desktop yako
5. Kama tayari umesave, Right click ile picha alafu click "Properties"
6. Alafu click Summary
7. Alafu click Advance
8. Kisha niambie ni vitu gani vimeandikwa kwenye hiyo picha (nataka kujua mpaka tarehe ya hiyo picha imepigwa lini na kwa kutumia CAMERA gani, na pia niambie hiyo picha ilikuwa edited na SOFTWARE gani)
Ngoja nijieleze on my site,
Mimi ni Mwandishi wa website moja ya habari hapa tz, kwahiiyo kati ya news na picha tunazozipata ikulu ni moja ya source zetu. kwahiyo vitu vingi Rais JK anavyofanya huwa tunapata Picha, sasa ili kuvalidate kama picha hiyo imetungwa na photoshop au vipi au ni feki, thats how we prove. Kwahiyo kwasababu unataka evidence, Just PM me with you mail address nitakutumia hizo picha kwenye email yako alafu ufanye kama nilivyoeleza hapo juu alafu utatuambia umeona nini. hizo picha nitaforward tuu, nitaacha uone hiyo picha ilikwenda kwa nani na nani ili uwaulize na hao wengine wakube uone saa na tarehe.
Sasa sielewi Mwafrika wa kike unahitaji ushahidi gani tena kutoka kwangu.
Na sio kila picha unaweza ukakuta hizo information, utapata information kama hizo kwa picha ambayo imepigwa DIRECT na camera bila KUWAEDITED ndio hizo information utakuta. jaribu kuclick picha zingine za michuzi, hutaona info kama hizo.
Ziko wapi hizo hoja zenye ushahidi wa kutosha? Sanasana alichofanya Mwafrika wa Kike ni kuendelea kutilia mashaka tarehe na muda wa wa picha ilhali zinalingana kabisa na ratiba ya raisi ktk siku zile. Ndugu Kichuguu, unaposema huamini kitu, toa sababu za nguvu kwa nini huamini. Mwafrika wa Kike angekuja na ratiba ya raisi na kuibandika hapa halafu ionekane wazi inapingana na caption za picha hapo hata mimi ningemvulia kofia na kusema kweli kamwaga lazi. Na si kuendelea kubisha tu kusiko na mbele wala nyuma. Sasa CMB katoa somo fupi la picha...hebu lipitieni.
Nyani
Nimefuatilia darasa la CMB na nimeridhika 100% vielelezo (picha) vimethibitika sio vya kufoji. Kwa maana hiyo hoja za Mugongo zimethibitika kuwa ni za KWELI na UHAKIKA na hoja za Mwafrika wa Kike ni UZUSHI na UBISHI usio na maana yeyote.
Nadhani unazijua both ways of this issue- ya Mkandara na ya CMB + muongo. Mkandara kashindwa kuleta evidence na inavyooneka pia Muongo na wenzake evidence hakuna.
Nimekuwa nikitafuta mahali alipochangia huyo jamaa, sijapaona. Nisaidie kuona michango yake ili niweze kuwa na flow nzuri.
Mwanzoni nilidhani kuna keyboard error, lakini kadri nilivyozidi kusoma nikaona inajirudia si chini ya mara tano. Nime-search bila mafanikio. Who is this JF member, "muongo"?