The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,232
- 17,390
Kweli inachekesha!!!!! Kwi kwi kwiiii!!!!!
I am happy unasoma michango yangu.
Look, habari ya Tanzania Daima kupunguza print order, nobody challenged asked me to bring "the evidence"...a couple of people only challenged whether a drop from 20,000 to 10,000 copies represents a 100% or 50% drop - and I conceded that Bush is smarter than me! Watu wa TD wamo humu, na ni wanachama wa JF, they should have brought up a different figure. Now you blame me because people didn't dispute my figures? Give me a break!
Ya Ngurumo kumuandikia Mbowe papers na makala, hiyo habari alileta mtu mmoja anaitwa Chinga...and it made sense to me knowing Mbowe's level of intellect. So, what did you expect Ngurumo to say? Kwamba ni kweli anamuandikia? Geez!
I find ridiculous hii idea kwamba tusi-challenge falsehood hapa JF kisa you may have unknowingly presented false information in the past.
And I find disturbing the comfort kwamba watu wanadanganya hapa JF na bado Forum ni credible. Well, up to a point.
there is no substance-whatsoever in the latest postings in this thread! Evidence, evidence, evidence for trivialities....Let us move on lads.
We have a heap of important and unsolved issues........
Hypocrite!
.....Look chaps, blow-dry Mkandara. Game's over.
By the way, bring the evidence that I am your daddy.
Game is not over mpaka ulete evidence za claim zako hapa. Wewe ndio unataka ku-have it both ways... Mkandara hakuleta evidence za kumweka JK hospitali hiyo siku kama aliyodai at the same time na wewe hukuleta any evidence ya kumweka JK somewhere else for the 24hrs of that day.
Huwezi kuwa daddy bila kuwa na daddy, get to know one first for yourself kabla ya kudai kuwa daddy hapa.
Game is not over mpaka ulete evidence za claim zako hapa. Wewe ndio unataka ku-have it both ways... Mkandara hakuleta evidence za kumweka JK hospitali hiyo siku kama aliyodai at the same time na wewe hukuleta any evidence ya kumweka JK somewhere else for the 24hrs of that day.
Huwezi kuwa daddy bila kuwa na daddy, get to know one first for yourself kabla ya kudai kuwa daddy hapa.
sasa mbona unambana mugongo mugongo peke yake? mwambie na Mukandara atupe evidence, maana naye ni mwongo mpaka sasa.
sasa mbona unambana mugongo mugongo peke yake? mwambie na Mukandara atupe evidence, maana naye ni muongo mpaka sasa.
Ilongo, usiumize kichwa na hii habari. Picha za CMB zimetoka jikoni, kwenye camera..with date, day, hour, and minute. Kilichobaki sasa ni comedy tu. Just play it along.
Hata wewe waweza ku-demand hizo evidence toka kwa mkandara. yeye hajatoa evidence akaitwa muongo...the same judgement ina-apply kwa mugongo na CMB - waje na evidence za ku-claim otherwise la sivyo na wao ni waongo na wanafiki.
ukweli ninaujua na ndiyo maana sihitaji evidence kutoka kwa mtu yeyote. nawaka balance tu basi.
ukweli ninaujua na ndiyo maana sihitaji evidence kutoka kwa mtu yeyote. nawaka balance tu basi.
Ilongo -
Unapoteza muda. She will be fine. Mkandara mwenyewe aliyeanzisha huu ubishi kaona picha, kaona tarehe, he is smart anajua zimetoka wapi, he bowed out. Wewe unahangaika na hawa wadandiaji? Achana naye.
Hypocrite!
Look chaps, blow-dry Mkandara. Game's over.
By the way, bring the evidence that I am your daddy.
Kwa mara ya kwanza nimeamua kuchangia mjadala wa JF. Mimi sina elimu sana kama wengi wenu hapa. Mimi hukubali hoja ambayo ina back ups (ninapenda kuona evidence).
Hizo picha zote za CMB hazina tarehe na muda wa lini zilipigwa. Yeye ndio ametuandikia tarehe na muda, siamini kama hizo tarehe ni hakika mpaka pale nitakapoona picha yenye tarehe na muda sio kwa CMB kutuandikia mwenyewe muda na tarehe. Tafadhali usitumie adobe kuweka tarehe na muda kwa sababu wengi hapa watakuumbua ukifanya hivyo.
Kwa sasa bado nampa Mkandara the benefit of the doubt.
Ushaanza kuwaambia wenzako cha kufanya..Binadamu wana uwezo wa kufanya maamuzi yao wenyewe....umeshindwa kuthibitisha uongo wako hapa na sasa unadictate watu wengine wafanye nin...
aha ha hahaha hahaha hahaha hahah
hapa umeishiwa