Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Na hatutakubali longolongo nyingine zaidi ya solid alternative evidence kwamba: (i) JK alikuwa Lugalo hospital mchana wa June 26"kumuaga" Amina, na (ii) JK alienda kuhani msiba kabla ya sherehe ya BBC.

So far wewe ndio unaleta longolongo hapa bila kuwa na evidence ya kuthibitisha madai yako. Ukileta evidence ndio uta-clear doubt ambayo iko around madai yako na picha zinazotumika kuback hayo madai
 
Nimekuwa nikitafuta mahali alipochangia huyo jamaa, sijapaona. Nisaidie kuona michango yake ili niweze kuwa na flow nzuri.

Mwanzoni nilidhani kuna keyboard error, lakini kadri nilivyozidi kusoma nikaona inajirudia si chini ya mara tano. Nime-search bila mafanikio. Who is this JF member, "muongo"?

muongo ni oooops mugongo

niliandika kutoka wrong date of the month kama alivyodai yeye kwa hiyo nikawa nakosea jina lake
 
Kama ningedai kuwa najua JK alikuwa wapi that day basi ningekuwa na burden ya kuleta ratiba ya rais. Otherwise wanaodai kujua JK alikuwa wapi (muongo na CMB) kwa sasa ndio wana burden ya kutoa evidence ya madai yao

Somo la CMB ni kuhusu picha za michuzi. Picha zake zote zinafeli hiyo procedure. Nimeanza ku-doubt labda hizo picha ni feki

Umeiona apology ya Mkandara?
 
Si unaona sasa. Mwafrika wa kike anapayuka tu bila kujua wala kuwa na chochote. Sitashangaa akija tena na kuanza ubishi. Nzuri zaidi CMB amesema yuko tayari kumtumia info zaidi akiwasiliana naye kwenye PM na kutoa email yake.

Hakuna haja ya CMB kunitumia info zaidi privately, issue hii iko public kwenye hii forum kwa hiyo inabidi huu uthibitisho wake ufanyike hapa haapa. Some of picha za michuzi zinapasi procedure ya CMB....picha zote za CMB zinafeli procedure ambayo yeye mwenyewe ndiye ameitoa hapa.

Kama sikosei picha in question ni za CMB nasio za michuzi
 
MK...unafaa sana kufanya cross examination! Unamkumbuka Lamwai enzi zake? alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali mahakamani...mpaka mtu analia mbele ya jaji!!!.... Lady....nimependa unavyoflow na maswali yako......

Credibility ya forum mbele!! wananchi nyuma!
 
Mimi naomba kuuliza Kiongozi gani wa kitaifa alienda kumuona Amina tangu aanze kuumwa kabla ya kuibuka kujaza vitabu vya rambirambi? Hasa ukizingatia kuwa Amina alianza kuumwa Mei 8?

Unadhani watakujibu hawa.....wanajali kile kinafit context yao ya kufikiri. Kama AC angekuwa mwanaume....ungeona mambo yakiwa tofauti na yalivyo leo.
 
Watu wanaweza kuamini wanachotaka kuamini. Nitakuwa mwenye furaha kama watu wataamini kwamba JK alienda "kumuaga" Amina saa 6:30 mchana June 26 Lugalo hospitali wakati recordings za TVT and ITV Live zinazoonyesha saa 6:15 mchana alikuwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

The nation is as strong as the character of its people.

Unavyotumia weak evidence hapa unafanya taifa lisiwe strong maana uzushi hauambatani na strong character. Acha uzushi kama wa kudai kuwa Zito alikuwa na uhusiano na Amina bila kutoa evidence ndio ujenge strong character na strong nation
 
Ubishi wako hauna lolote, Mkandara keshakiri kuwa ali-mislead watu na ame-confirm na source zake, end of story. Mugongo is 3 for 3. Hutaki?

Hakuna aliyedai hapa kuwa yuko upande wa Mkandara, yeye anaweza kusema for himself. Muongo na CMB pia wanatakiwa watoe evidence kuhusu madai yao la sivyo wakiri kama mkandara kuwa hawana evidence au kwamba picha za CMB zimefanyiwa editing na sio za kutoka ikulu direct kama wanavyodai.
 
#1.Apology ya Mkandara
#s 2&3, masahihisho ya Mwanakijiji regarding mbuga ya wanyama na mazingira.
 
Umeiona apology ya Mkandara?

Mkandara anajiwakilisha mwenyewe hapa na amekubali ku-own makosa yake....kazi sasa kwa CMB na muongo ....wao wamedai kuwa wanaijua kamera iliyotumika kupigia hizo picha lakini picha zao hapa zinaonekana kama ziko edited maana hazina informatio (kama zile alizotushauri CMB kuwa tutazipata kwenye picha za Michuzi na sio picha zake hapa)
 
Mwafrika Mke!
Sasa kama Mkandara ameomba msamaha- basi mama/dada! Unataka ufanyiwe tena nini? Wakupigie magoti?
Basi tuendelee na mengine!
 
MK...unafaa sana kufanya cross examination! Unamkumbuka Lamwai enzi zake? alikuwa na uwezo wa kuuliza maswali mahakamani...mpaka mtu analia mbele ya jaji!!!.... Lady....nimependa unavyoflow na maswali yako......

Credibility ya forum mbele!! wananchi nyuma!

Wao wanadai kuwa wanaijua camera iliyotumika kupiga hizo picha, kwanini wasilete picha ambazo tunaweza kuzi-evaluate na kupata source infor kama wanavyojaribu kujieleza kwa ku-refer to picha za michuzi?

Tunaongelea picha zao hapa na sio za michuzi. naahidi kuwa wakileta hizo infor zote hapa, nitakoma kabisa kuulizia hii doubt ambayo iko kwenye picha hizo.
 
#1.Apology ya Mkandara
#s 2&3, masahihisho ya Mwanakijiji regarding mbuga ya wanyama na mazingira.

Issue ya mwanakijiji inahusishwa vipi na watu wanaoshindwa kuleta evidence kuhusu madai yao?.....nasisitiza kuwa mkandara can talk for himself.....waongo na wazushi inabidi wakiri au walete evidence
 
Hakuna haja ya CMB kunitumia info zaidi privately, issue hii iko public kwenye hii forum kwa hiyo inabidi huu uthibitisho wake ufanyike hapa haapa. Some of picha za michuzi zinapasi procedure ya CMB....picha zote za CMB zinafeli procedure ambayo yeye mwenyewe ndiye ameitoa hapa.

Kama sikosei picha in question ni za CMB nasio za michuzi

Nilitoa example kwa picha za michuzi kwasababu hizi ambazo ninazo, ni kubwa alafu kupload ni MZOZO. Hizo ambazo niliweka kabla nilipunguza size ili niweze kuupload haraka.

Darasa la CMB ni kuhusu picha za JK akiwa msumbiji kutoka kwa michuzi. Picha zake zinafeli hiyo procedure. Endelea kuniita mbishi na mzushi (sijazua chochote hadi sasa zaidi ya kutaka watu watoe evidence hapa) kwani una haki ya kuamini chochote unachotaka.

Kama nilivyosema, nipo bongo, picha ya 500KB - 1040KB kupload ni tatizo, inachukua muda mrefu. hizo ambazo niliweka nilipunguza size ziwe ndogo, ndio nikaweza kuziweka ili uone

Waooooo yaani evidence ni kuhusu picha za michuzi na sio zako ulizoweka hapa.



Huna sababu ya ku-forward picha hizo kwangu. Ziweke hapa katika original form yake na tukizi-evaluate zitatupatia time and day



Nikitumia the same procedure kwenye picha zako hapa sipati hizo info kama za michuzi. Kumbuka kuwa tunajadili picha zako na sio picha za JK akiwa msumbiji.



Kama ni wewe ni mwandishi wa habari basi natumaini utatuletea picha original na sio hizi ambazo zina too much kroping.



Umetoa link ya picha za michuzi, leta ushahidi wa picha zako ya tarehe na time......nakuhakikishia kuwa ukifanya hivyo nitaacha kumkera mtumwitu hapa.




Picha zako zote ulizotoa hapa hazina hizo info, kwa hiyo kulingana na unachosema hapa, picha zako sio direct au zimekuwa edicted. Tuambie mwenyewe....picha zako ni DIRECT? au zimekuwa edited ili ku-fit context?

Zangu nitaweka, lakini kutoka katika mtandao wa JK. Picha sio zangu, ila ni kaitka mtandao mwingine kabisa naona na wao wameziweka FRESH kutoka kwenye CAMERA

Soo fanya the same ulivyofanya katika picha za michuzi na hizi picha hapa chini

DSC02586.JPG




DSC02633.JPG
 
#1.Apology ya Mkandara
#s 2&3, masahihisho ya Mwanakijiji regarding mbuga ya wanyama na mazingira.

BTW, Jana nawewe ulianzisha madai kuwa France haina presumption of innocence......kazi kwako kuprove haya madai maana inaonekana kuwa Unataka kabisa kukwepa hii issue
 
Wao wanadai kuwa wanaijua camera iliyotumika kupiga hizo picha, kwanini wasilete picha ambazo tunaweza kuzi-evaluate na kupata source infor kama wanavyojaribu kujieleza kwa ku-refer to picha za michuzi?

Tunaongelea picha zao hapa na sio za michuzi. naahidi kuwa wakileta hizo infor zote hapa, nitakoma kabisa kuulizia hii doubt ambayo iko kwenye picha hizo.

Evidence unayoitaka nimekuletea hapo juu, sasa UTAKOMA SIO?

Picha zingine nitaziweka, nashukuru mungu hata katika mtandao wa jK wameziweka fresh hivyo hivyo. soo zinigne hizi hapa chini
 
Mwafrika Mke!
Sasa kama Mkandara ameomba msamaha- basi mama/dada! Unataka ufanyiwe tena nini? Wakupigie magoti?
Basi tuendelee na mengine!

No sitaki wanipigie magoti.

Walete evidence au waseme kuwa hawana. Nakuhakikishia kuwa wakileta evidence na sio ku-turefer kwa michuzi nitanyamaza
 
Nyani mi nadhani MK atendewe haki....hakuleta argument hapa kwa ku-msupport Mkandara. Yuko hapa kulinda credebility ya forum (THE SAME APPLIES TO YOU I GUESS)!!! She is in here in her own right and terms.... (atleast nilivyomuelewa!). Kwa hiyo watu wasimuunganishe na Mkandara. Indeed Mkandara has not done so-kudos to him.

Unajua Mahakama au jaji..i/akitokea kuwa na walakini na ushahidi wako, sidhani kama utamwambia yeye alete ushahidi mbadala. Can you?..NI JUKUMU LAKO KUMRIDHISHA.... Sisemi kwamba MK ni jaji au nani..but kama mwanaforum, her interests ni kupewa ushahidi ambao haukinzani na hoja za waungwana. And who alleges must prove.

Kwa hiyo MK bado ana legitimate expectations za kupewa evidence murua. Hata picha za white house zingekuwa in issue hapa..tungezijadili tu...mbona kuna waongo kibao hapo W/H..akina Libby....tunayaona wanayoyafanya bwana? Again, I still believe MK has a valid point. Tushambulie hoja na sio watu.
 
Back
Top Bottom