Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,132
Nyani
Nimefuatilia darasa la CMB na nimeridhika 100% vielelezo (picha) vimethibitika sio vya kufoji. Kwa maana hiyo hoja za Mugongo zimethibitika kuwa ni za KWELI na UHAKIKA na hoja za Mwafrika wa Kike ni UZUSHI na UBISHI usio na maana yeyote.
Si unaona sasa. Mwafrika wa kike anapayuka tu bila kujua wala kuwa na chochote. Sitashangaa akija tena na kuanza ubishi. Nzuri zaidi CMB amesema yuko tayari kumtumia info zaidi akiwasiliana naye kwenye PM na kutoa email yake.