Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,124
Fwata alichosema Mugongo mugongo ile time line yake, alfu fuata ya mkandara. alafu fuatilia ya picha ambayo ndio live evidence. alafu chagua mwenyewe
Uh..uh
Next...
Fwata alichosema Mugongo mugongo ile time line yake, alfu fuata ya mkandara. alafu fuatilia ya picha ambayo ndio live evidence. alafu chagua mwenyewe
mugongo mugongo said:Yes, Rais aliwasili Tanga tarehe 25 majira saa tisa, na siku hiyo hiyo akaenda moja kwa moja kwenye mabanda ya maonyesho ya mambo ya madawa ya kulevya, shughuli ambayo pia iliripotiwa na vyombo vya habari, including TVs.
Kesho yake asubuhi (tarehe 26 June - siku ya Jumanne, ambayo unadai ndio alienda kumuona Amina Lugalo) akaenda kupokea maandamano Uwanja wa Mkwakwani - Tanga, na kuhutubia. Kwenye saa saba mchana, akaenda kupata lunch Mkonge Hotel. Later mchana waka-fly to Serengeti, na kufikia Seronera Lodge ambapo alilala hadi kesho yake (June 27), akafungua mradi wa umeme Serengeti, na kuondoka kurudi Dar. Jioni akawa mgeni rasmi shughuli ya BBC, na baada ya hapo straight akaenda kuhani msiba.
Kwahiyo, bwana mkubwa, usitudanganye. Heshima ya Forum mbele
Fuatilia hiyo alafu fuatilia na picha
and the verdict is......
post # 202
meaningless
una right ya kuwa na opinion kuhusu anything hapa.
kazi sasa kwa muongo na CMB kuleta evidence za kuprove madai yao hapa.
Na nyie (wewe na Mkandara) leteni za kwenu. Unapopinga ushahidi unatoa pia ushahidi mbadala, au sio baby?
Nyani are you trying to be a little bit sexist with your "baby" comment?
Mkandara atajibu hii issue yeye mwenyewe. Mimi nikifikia hatua ya kupinga ushahidi zaidi ya hii ya ku-demand evidence za huo ushahidi basi itabidi nitoe ushahidi mbadala.
Kwa sasa kama wewe ndio msemaji wa muongo na CMB basi kazi kwako kuleta evidence ya madai waliyotoa ili ku-overcome doubt ambayo nime-create hapa.
Nyani are you trying to be a little bit sexist with your "baby" comment?
Na wewe kama Mkandara bwana wako
na umegeuka kuwa msemaje wake basi una wajibu wakuleta ushahidi wako mbadala kwa sababu kama una mashaka na ule uliotolewa na una demand ushahidi mwingine, hiyo ina maana huu uliopo umeukataa.
Na kama ndio hivyo, na mimi na-demand utoe ushahidi mbadala unaokufanya usiamini huu uliopo sasa. Okay baby?
Aaaw come on now, I used it in an affectionate kinda way. Are you jealous...? You are a hot babe yourself...mwaaaaaa...mwaaaaa
Waoooooo, sasa tumeanza na name calling enhe!
Ku-demand watu wanaotoa madai bubu kudai kujua JK alikokuwa on the disputed date dhidi ya Mkandara walete evidence sio kuwa msemaji wa Mkandara. Walete evidence...simple request.
Kwa sasa ni kwa Muongo na CMB kuleta evidence za madai na picha ambazo zina doubts kibao..Mie nikifikia hatua ya kutoa allegations humu basi nitaleta evidence bila hata wewe kuomba
Bi senti,
inaonekana nilikuwa wrong kuhusu statement yangu kuhusu Nyani kuwa ok na wanawake....inaonekana doubts zako zilikuwa kweli. Nyani kazidiwa hapa na ameanza name callings..hoja zimekwishaaaaa
ohaaa hooha kwei kwekiw kwieeeiiiii
Well,
Kama mnataka kuendelea kubishana endeleeni ila mark my words. Ushahidi mlioambiwa umetoka Ikulu umetoka Ikulu kweli.
Inawezekana ni propaganda au ni ukweli kweli.
Bob Mkandara, angalia vijana huwawezi ni taifa kubwa, watakuaibisha.
Well,
Kama mnataka kuendelea kubishana endeleeni ila mark my words. Ushahidi mlioambiwa umetoka Ikulu umetoka Ikulu kweli. Inawezekana ni propaganda au ni ukweli kweli.
Bob Mkandara, angalia vijana huwawezi ni taifa kubwa, watakuaibisha.
Huna jipya na umeshindwa kuleta ushahidi mbadala na umebaki ku-recyle yale yale tu. Mpaka utakapoleta ushahidi mbadala....au revoir