Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Afadhali...kumbe sio mimi tu niliyeona kuwa anaboa. Kwanza ishu yenyewe ilikuwa imeanza kufa baada ya Mkandara kusalimu amri kimya kimya. Sasa leo akaja huyu naye na kuipa CPR lakini naona MugongoX2 kaamua kuchukua the high road kiushikaji.
 
Kwani ni picha zote ambazo hupigwa huwa na tarehe na muda? Hebu tembelea kule kwa Michuzi uone kama picha zake zina tarehe na muda? Au tembelea Whitehouse.gov uone kama picha zote zina tarehe na muda wa kamera ilipopiga. Na kwa nini humwamini CMB? Wewe umejuaje kama haaminiki? Na wewe unapompinga mtu unatoa ushahidi wako kwa nini unampinga.

Mimi sikumpinga yeyote hapa zaidi ya kuomba ushahidi wa kutosha. Mtu yeyote anaweza kuleta picha ya JK au ya yeyote hapa na kudai kuwa ilipigwa tarehe fulani na muda fulani...kwani nimwamini huyo CMB na picha zake. Akileta picha zenye tarehe na muda ndio nitamwamini otherwise ni weak evidence aliyonayo.

Haya mambo ya kusema hadi nione hiki..hadi nione kile....are not acceptable.

Naona sasa unataka pia kuamua kitu gani ni acceptable hapa.

Saying you don't believe CMB is not enough. You need to disprove him by presenting yours. If you don't have anything to counter his, you'd better shuuussh.

Sio mimi nimeweka picha hapa na kuandika tarehe na muda wa hizo picha..CMB hajaweka picha zinazothibitisha tarehe na muda wa lini zilipigwa...picha zake ni weak evidence ya kuonesha kikwete alikuwa wapi that whole day.
 
Mwafrika wa kike na wewe sasa unaboa.

samahani sana kwa kukuboa......!

Unaposhindana na mugongomugongo kwa stail hii sio tu inakuwa ngumu kukutofautisha kiupeo na huyu ndugu lakini vilevile unamsaidia katika kazi yake ya kubadili mwenendo wa mada halisi kwa manufaa ya wakubwa zake na maslahi yake binafsi.

Samahani kama nimemzuia yeyote hapa kuchangia mada ya Muhingo, Mugongo alifanya bar ya discussion hapa kuwa juu kwa ku-demand watu watoe evidence na mie nikarudisha double standard back to him.

Ushauri wangu ni kuwa achana naye watu waendelee na mjdala ambao kwa hapa ni nia na maudhui ya tungo ya Muhingo Rweyemamu on Amina's Death.

Kusatana humu sio mahala muafaka...utamaduni huo una mahala pake kama kule Dodoma katika ukumbi tuliotumia mabilioni ya pesa za walalahoi kuujenga. Si unakumbuka mambo ya "tupo, tumejaa tele"

Tanzanianjema

Tanzanianjema

Sidhani kama nimemzuia yeyote hapa ku-debate zaidi ya kutaka watu watoe evidence za kuback up claims zao (standard ambayo imeonekana kusisitizwa sana na mugongo na wenzie).
 
Afadhali...kumbe sio mimi tu niliyeona kuwa anaboa. Kwanza ishu yenyewe ilikuwa imeanza kufa baada ya Mkandara kusalimu amri kimya kimya. Sasa leo akaja huyu naye na kuipa CPR lakini naona MugongoX2 kaamua kuchukua the high road kiushikaji.

Kama una high road mbona usiifuate? inaonekana mugongo hatakiwi kuulizwa kutoa evidence hapa ingawa anafanya the same things to others here.
 
Mimi sikumpinga yeyote hapa zaidi ya kuomba ushahidi wa kutosha. Mtu yeyote anaweza kuleta picha ya JK au ya yeyote hapa na kudai kuwa ilipigwa tarehe fulani na muda fulani...kwani nimwamini huyo CMB na picha zake. Akileta picha zenye tarehe na muda ndio nitamwamini otherwise ni weak evidence aliyonayo.

Naona sasa unataka pia kuamua kitu gani ni acceptable hapa.

Sio mimi nimeweka picha hapa na kuandika tarehe na muda wa hizo picha..CMB hajaweka picha zinazothibitisha tarehe na muda wa lini zilipigwa...picha zake ni weak evidence ya kuonesha kikwete alikuwa wapi that whole day.

Wewe una mamlaka gani kusema ushahidi aliotoa ni dhaifu? Au kwa vile hakuna imprint ya tarehe na muda kwenye picha yenyewe? Kama ni hivyo basi na wewe hoja yako ya kusema kwamba picha za CMB hazithibitishi tarehe na muda zilizopigwa ni dhaifu vile vile kwa sababu si lazima na si kamera zote zenye kufanya hivyo. Unapodai ushahidi kwa watu ni lazima na wewe uwe na wa kwako unaopingana na ule uliokwishatolewa. Haya ya kusema huamini bila kutoa ushahidi wako is lame. Ungetoa za kwako zinazopingana na za CMB ungefunga mjadala. Next....
 
hapa panazidi utamu. Mwafrika karibu katika kuungazia umma wa JF. Tumekaa pembeni muda mrefu, wakati wetu wa kuchangia umefika. Karibu sana.

asante.
 
Wewe una mamlaka gani kusema ushahidi aliotoa ni dhaifu? Au kwa vile hakuna imprint ya tarehe na muda kwenye picha yenyewe?

Yap, kama hakuna tarehe na muda, basi hakuna uthibitisho wa lini picha ilipigwa.

Kama ni hivyo basi na wewe hoja yako ya kusema kwamba picha za CMB hazithibitishi tarehe na muda zilizopigwa ni dhaifu vile vile kwa sababu si lazima na si kamera zote zenye kufanya hivyo.

Huwezi kutumia picha ambazo hazina uthibitisho wa kutosha wa lini zilipigwa kama evidence ya kuonyesha presence ya anybody somewhere hapa kama unataka "kulinda credibility ya JF".

Unapodai ushahidi kwa watu ni lazima na wewe uwe na wa kwako unaopingana na ule uliokwishatolewa.

Hii ni sheria mpya iliyotungwa Tanzania? au JF?

Haya ya kusema huamini bila kutoa ushahidi wako is lame. Ungetoa za kwako zinazopingana na za CMB ungefunga mjadala. Next....

Ninadhania kuwa unajua vyema maana na matumizi ya neno kuamini
 
Mpaka hapa Mwafrika wa kike anaongoza mechi 5-0. Na bado hajaingiza uwanjani wachezaji mahiri wa benchi.
 
Labda sijui maana na matumizi yake...
Nipe darasa basi...

Darasa ni kwamba, ukidai kuwa una evidence ya picha zenye kuonyesha presence ya mtu kuwa somewhere siku fulani, basi inabidi uwe na uthibitisho wa lini hizo picha zilipigwa ili madai yako yaaminiwe kuwa ni ya kweli.
 
Nyani,
Anachosema Mwafrika wa kike ni kwamba kama tunamshutumu Mkandara kwa kutoa tarehe za uwongo, tuna hakika gani picha alizotoa CMB ? ni za kweli? Na mimi nikaongezea kuwa kama Kikwete hakumwona marehemu Chifupa tareh 26 kuna uwezekano Mkandara alikosea siku by one day. Could it be alimwona on the 25th? Lakini hakuna aliyesuta uwezekano kuwa Kikwete alimwona marehemu before she passed away. Na ukizingatia jinsi Mwungwana anavyopenda kutembelea wagonjwa makes it more plausible.
 
Uthibitisho si ndio hizo caption zilizoambatana na picha. Sasa kama wewe huzikubali hizo caption, toa za kwako basi zinazopingana na zile zilizoambatana na picha ili na wewe pingamizi lako lionekane kuwa ni la kweli la sivyo na wewe utaonekana unapinga tu kuendeleza ubishi usio na maana. Ni hilo tu.
 
Ok, sawa. Mimi ninachosema ni hiki. CMB kaleta picha. Mwafrika wa kike anasema haziamini kwa vile tarehe na muda haviko kwenye picha bali ziko chini, juu, au pembeni ya picha kwa hiyo kuna uwezekano hizo tarehe zimeandikwa tu na CMB kuipa nguvu hoja ya Mugongo. Hiyo ni hoja dhaifu. Nimetoa mfano wa Michuzi na tovuti ya whitehouse. Picha za sehemu zote hizi mbili hazina tarehe wala muda ndani ya picha yenyewe. Ila maelezo yako chini na tarehe (kwa zile za whitehouse). Kwa hiyo na zenyewe hamziamini kwa vile tarehe na muda haviko ndani yake? Unapokataa au kutilia mashaka ushahidi wa mwenzio inabidi na wewe uwe tayari kutoa wa kwako unaokufanya usiamini au kutilia mashaka ule uliotolewa. Kama huna ushahidi na unatumia hisia tu, hiyo haitoshi katika ulimwengu wa hoja na credibility.
 
Uthibitisho si ndio hizo caption zilizoambatana na picha. Sasa kama wewe huzikubali hizo caption, toa za kwako basi zinazopingana na zile zilizoambatana na picha ili na wewe pingamizi lako lionekane kuwa ni la kweli la sivyo na wewe utaonekana unapinga tu kuendeleza ubishi usio na maana. Ni hilo tu.

Caption hizo ni zinaweza kuwekwa na anybody ikiwemo CMB mwenyewe kwenye evidence iliyotumika kupinga madai ya Mkandara ...Hii haionyeshi otherwise kuwa JK hakwenda hospitali that day.
 
Caption hizo ni zinaweza kuwekwa na anybody ikiwemo CMB mwenyewe kwenye evidence iliyotumika kupinga madai ya Mkandara ...Hii haionyeshi otherwise kuwa JK hakwenda hospitali that day.

Sahihisho: Picha za CMB hazikutumika kupinga madai ya Mkandara. Mugongo alitoa vyanzo vyake na Mkandara akatoa vya kwake. CMB akaja akaleta picha ambazo maelezo yake yalishabihiana na timeline ya Mugongo.
 
Ok, sawa. Mimi ninachosema ni hiki, CMB kaleta picha. Mwafrika wa kike anasema haziamini kwa vile tarehe na muda haviko kwenye picha bali ziko chini, juu, au pembeni ya picha kwa hiyo kuna uwezekano hizo tarehe zimeandikwa tu na CMB kuipa nguvu hoja ya Mugongo. Hiyo ni hoja dhaifu.

Naona sasa unataka kuleta ubishi kuwa inawezekana CMB hakuandika hizo tarehe mwenyewe.

Nimetoa mfano wa Michuzi na tovuti ya whitehouse. Picha za sehemu zote hizi mbili hazina tarehe wala muda ndani ya picha yenyewe. Ila maelezo yako chini na tarehe (kwa zile za whitehouse). Kwa hiyo na zenyewe hamziamini kwa vile tarehe na muda haviko ndani yake?

picha za michuzi na WH hazijatumika kama evidence (directly)kwenye madai ya kuprove presence ya mtu kuwa somewhere katika case inayoendelea hapa. Hizo picha zikitumika basi itabidi uje back na kuanza evaluation upya hapa.

Unapokataa au kutilia mashaka ushahidi wa mwenzio inabidi na wewe uwe tayari kutoa wa kwako unaokufanya usiamini au kutilia mashaka ule uliotolewa. Kama huna ushahidi na unatumia hisia tu, hiyo haitoshi katika ulimwengu wa hoja na credibility.

Ukitilia mashaka ushahidi wa mwenzako kwa kumwambia kuwa alete evidence, ni juu ya huyo mwenye ushahidi kuthibitisha madai yake (kama ambavyo muongo na wenzake walidai Mkandara athibitishe madai yake) ili ajenge "hoja na credibility" katika forum kama hii.
 
Sahihisho: Picha za CMB hazikutumika kupinga madai ya Mkandara. Mugongo alitoa vyanzo vyake na Mkandara akatoa vya kwake. CMB akaja akaleta picha ambazo maelezo yake yalishabihiana na timeline ya Mugongo.

Hii sasa mpya...zilitumika kwa ajili ya nini vile?
 
Naona sasa unataka kuleta ubishi kuwa inawezekana CMB hakuandika hizo tarehe mwenyewe.

picha za michuzi na WH hazijatumika kama evidence (directly)kwenye madai ya kuprove presence ya mtu kuwa somewhere katika case inayoendelea hapa. Hizo picha zikitumika basi itabidi uje back na kuanza evaluation upya hapa.

Ukitilia mashaka ushahidi wa mwenzako kwa kumwambia kuwa alete evidence, ni juu ya huyo mwenye ushahidi kuthibitisha madai yake (kama ambavyo muongo na wenzake walidai Mkandara athibitishe madai yake) ili ajenge "hoja na credibility" katika forum kama hii.

Na wewe una wajibu wa kutoa ushahidi zaidi ya maneno kwa nini ushahidi wa mwenzako unautilia mashaka. Hisia pekee hazitoshi.

Halafu hii sio case. Ni mabishano au malumbano.
 
Bellow is my evidence to this matter. Huwa napata news kutoka ikulu. so ukidownload picture, kwenye properties utaona picha imepigwa na camera gani na saa ngapi. so bellow is my evidence to the show SAGA

mhhhh
mhhhhh
 
Back
Top Bottom