Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
ebwana inakuwaje babu?
watu hawataki kukubali ushahidi...halafu hawawezi kuleta wa kwao. Halafu wanadai tumeishiwa hoja....go figure
Kama ushahidi wenu ni weak basi hamuna hoja yoyote. Leta ushahidi kwanza....simple request!