Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,712
- 11,611
Wakuu,
Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua.
Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile.
Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa, msoga kijiji maarufu kilichobeba tumaini kwa bi mkubwa.