nafsi

Nafsi Huru (born 10 October 1986), is a Kenyan rapper.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Kiroho: Kutekwa kwa Nafsi badala ya msukule

    Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku. Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...! hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

    Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
  3. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  4. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  5. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Watu pori - Nafsi ya mtu

    NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Verse ..1 ( mc koba) Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

    Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
  8. Life2

    JamiiForums Tanzania Kila nafsi itaonja umauti

    Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa. Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na tusiowafahamu bahati ukiwa kiongozi ukitangulia mbele za haki jamii nzima itafahamu. Ni kweli kwa sisi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kila nafsi itaonja mauti, waliotangulia walikuwa kama sisi na sisi tutakuwa kama wao

  12. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Mauaji: Je, Tunaongozwa na Waliokosa Amani ya Nafsi?

    Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi? Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...
  14. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: NAFSI YA MFU Mtunzi: Kindo Emmanuel

    ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa njaa niliyohisi na kila nilichojaribu kula nilitapipika mpaka nyongo. Nilihisi huenda nilikumbwa na...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  17. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Tume iliyo na nafsi

    NDOTO: 16 TUME ILIYO NA NAFSI Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti vya ngozi. Katikati ya meza hiyo kulikuwa na kiumbe wa ajabu—si binadamu, si mashine—lakini...
  18. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Nafsi za kazi Mofat mwendokasi

    Aya ajira izo apoooo msiseme hamjaambiwa kazi kwako
  19. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  20. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Mchoro wa usaliti katika hekalu la nafsi

    "Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga." (Mathayo 27:5) Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi. Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti kwa kumeza ahadi ya muda na kupuuza kilio cha ndani. Na leo, kivuli chake kinatembea katikati yetu...
Back
Top Bottom