Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,540
- 95,116
😹😹😹 Hauna Siri zangu?[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Hauna Siri zangu?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaahMkitaka muwe safe humu acheni kuselfika na kuanzisha mahusiano yasiyo na tija humu JF.
Ukipata akili ya kutambua Lamomy anaweza kuwa I’d nyingine yoyote humu JF basi elewa hakuna siri yoyote hapa.
Namaanisha hivi mtu mmoja anaweza kukutongoza mara nyingi awezavyo kwa ID’s tofauti na usielewe. Na epuka convo za kijinga huko piem mingine ni mitego.
Pia acha kuamini mtu kiasi cha kujiachia na kutuma picha zako naked lazima KITAKULAMBAAA hiyo weka akilini.
Humu JF watu ni vichaa kuliko mnavyofikiri..!!
Sema ndo hivyo malaya wa JF hawawezi kunielewa ni sikio la kufa. [emoji26][emoji81][emoji81]
Yaani my wii siku siri zako zikivuja sijui itakuwaje una maadui wengi😁😁😹😹😹 Hauna Siri zangu?
Njoo tubadilishane uduguu 😹😹Siri ni nini? Siri maana yake nini?
Sina msiri, ila nina siri za watu. [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23]Nna kifua sana. Nishawahi kupewa file la kutisha na mtu ninayegombana naye kwa muda huo lakini nikachagua kumuacha na kumpa soft michambo…!!
Kwa akili za mwingine humu JF hatujuani hiyo ndo ingekuwa kete yake ya kumaliza mchezo..!!
Halafu mimi sina rafiki wala adui wa kudumu, utashangaa siku nakuwa upande wa adui yangu namkingia kifua nikiona anaonewa..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Manguchiro ni mengi afu ukiyauliza wana chuki gani haswa kwangu hayana majibu ya kueleweka..!!Yaani my wii siku siri zako zikivuja sijui itakuwaje una maadui wengi😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23]Mpenzi wangu ndio msiri wangu, huwa ananiambia kabisa huendani na personality yako ya JF. Hasa siku umbea ukikolea humu jinsi ninavyofukua makaburi wakati mpole mwenyewe ananifichia mengi babe wangu
Anastahili heshima kubwa sana 💪🏿💪🏿💪🏿👑Maxence Melo huyu ndugu yetu alilala lupango baada ya kukataa kutoa taarifa zetu kwa pilato yaan sijui tungejificha wapi mbele za watu wabaya.
Mwenyezi Mungu akubariki sana
Hatariii sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Nipo kipenzi nashangaa nipo nareply coment yako mara ghafla wewe na cocastic mna ban. Labda mlikula ban kwa kushadadia ugomvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Pole itakuwa nguchiro walijua na wewe mmbea mwenzetu wakakuchoma..!!
Uduguu, mbona uzi umejaa sumu sana, kwani kimeguswa kitufe gani?[emoji81][emoji81][emoji81] Hauna Siri zangu?
😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23]
Kitufe cha donati kimeguswa wamepoteana nguchiro 😹😹😹Uduguu, mbona uzi umejaa sumu sana, kwani kimeguswa kitufe gani?
Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu em tutulizane, [emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tubadilishane uduguu [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tutasekwa lupango, wee hayaaa.Kitufe cha donati kimeguswa wamepoteana nguchiro [emoji81][emoji81][emoji81]
JF haipoi wala haiboi [emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaahManguchiro ni mengi afu ukiyauliza wana chuki gani haswa kwangu hayana majibu ya kueleweka..!!
Na mi nafanya makusudi yanacheza beat langu vile ninavyotaka. Kama huyo mweusi bonge na top yake ya afu tatu anayarudi kweli na mwenye kibwaya pembeni yake..!![emoji81][emoji81][emoji81]
Buanaa adui zangu wa kuchovya mnanipa rahaaaaaa..!!!