aiiii,, mbinguni tutapewa mwili mpya dear😆😆😆Binti hicho kiungo nenda nacho taratibu usikifuje😆
Mars ya nyokoooooHupepesi macho sio! Subiri wakukaange hiyo siku sikutetei😂
Mimi nikajua wa jf wako mars, basi tuangalie wa madhabahuni😅
Yani buku lol😆Hii mada ukiifuatilia Sana.. Imejaa codes za kutosha.. Kuna magaidi wengi Sana humu
Mwenye faiii la mlozi aweke mkeka hapa ale 1K🤣View attachment 3579562
Si umeambiwa ulikua na zilipendwa wako DemisAah ya JF nshayazoea😀😀 hakuna aliyewahi kuleta ithibati hata mmoja😀
labda ni hao mlio wadinya ndo walitoka hapo wakaja kuwasimulia wenzao,,😂Aah ya JF nshayazoea😀😀 hakuna aliyewahi kuleta ithibati hata mmoja😀
Kila mtu anajitungia tu lake sio😅Aah ya JF nshayazoea😀😀 hakuna aliyewahi kuleta ithibati hata mmoja😀
Mabinti leo hamchekeshi sijui nani kawavuruga aisee!🫢Mars ya nyokooooo
Vitu vingine ni upuuziMabinti leo hamchekeshi sijui nani kawavuruga aisee!🫢
Hahaha hapo bado mtu mzimaVitu vingine ni upuuzi
Ni nani huyo hii JF ina bidi tu i shape😆Hahaha hapo bado mtu mzima
Kisheti hajaamka mbona mtakoma🤣
Ntakuchapa Ukitoa siri zangu 😂
Kuna mashare holders huwaoni ujuaji mwingi makazi buza🤣Ni nani huyo hii JF ina bidi tu i shape😆
Mmiliki ni Melo jamani
Siwezi kutoa siri za mtu nikiwango cha mwisho cha upumbavu ambao mimi sinaNtakuchapa Ukitoa siri zangu 😂
Tawire 🤝Siwezi kutoa siri za mtu nikiwango cha mwisho cha upumbavu ambao mimi sina
Waweke humu🚮Kuna mashare holders huwaoni ujuaji mwingi makazi buza🤣
Ila zako zitatolewa tu😃Siwezi kutoa siri za mtu nikiwango cha mwisho cha upumbavu ambao mimi sina
Niwaweke mara ngapi😁Waweke humu🚮