win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,110
- 31,037
uzuri mimi silewi na nikilewa nahakikisha mdomo umeishiwa nguvu hata ya kusema neno lolote nabaki kukutizama tu😅😅😅Win ana Siri zako 😆
Ebu alewe tuone
uzuri mimi silewi na nikilewa nahakikisha mdomo umeishiwa nguvu hata ya kusema neno lolote nabaki kukutizama tu😅😅😅Win ana Siri zako 😆
Ebu alewe tuone
Unafunga mdomo wa juu unafungua wa chini 👍uzuri mimi silewi na nikilewa nahakikisha mdomo umeishiwa nguvu hata ya kusema neno lolote nabaki kukutizama tu😅😅😅
huwa nafunga midomo yoteUnafunga mdomo wa juu unafungua wa chini 👍
Ebu subiri kwanza nitarudi🏃♂️🏃♂️😁
Sindo pale! Namsikia mchungaji hapa anasema hakuna changudoa atakepita na bwana ako😆akuuuu mimi nyuchi yao ya kazi gani mailord😆
Mate yamentoka mie, mdada wangu kaniita acha nikajilambe!🤤acha tu nikutangaze unapenda dagaa wa kukaanga na tembele lenye limao ya kutosha😅😅 nakapilipili kichaa mwa mbaaaali
Dad heb kaa kando kwanza jamani lol 😁Weee mtoto😂🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Ukija dar najitolea kukupikia dear karibuSindo pale! Namsikia mchungaji hapa anasema hakuna changudoa atakepita na bwana ako😆
Mate yamentoka mie, mdada wangu kaniita acha nikajilambe!🤤
Sawa angalia 😎
Jini katoka mganga hoi😁😁🏃♂️
Mi kuna mmoja alinifunguliaga uzi kwa hasira zake baada ya kutojibu ujinga wake pm,alijua nitakuja na paniki kwenye ule uzi niliishia kuusoma na kupita kama sio mimi.sasa member wengi wa humu wakiona wanasemwa vibaya ndo wanaanza kujitetea, wanawapa vichwa hao waongo,, hapa issue ni moja mtu akikushutumu kwa habari za uongo we mute tu abwabwaje akichoka atafunga bakuli lake ukisema ukimbizane na chizi na wew unaonekana chizi pro max
safiiii, ila ungeanza kujieleza uone watu wanavyo kukandia,, ila naamini wachochea ugomvi hawakukosa😆Mi kuna mmoja alinifunguliaga uzi kwa hasira zake baada ya kutojibu ujinga wake pm,alijua nitakuja na paniki kwenye ule uzi niliishia kuusoma na kupita kama sio mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mimi nna Siri za wangapi? [emoji81][emoji81][emoji81]
🤣🤣Alafu nilivyo na bahati ule uzi kila mtu aliukataa wakawa upande wangu na ulifutwa chapu kama uwongozi niliwatuma kumbe wala🤣🤣safiiii, ila ungeanza kujieleza uone watu wanavyo kukandia,, ila naamini wachochea ugomvi hawakukosa😆