Raha ya JF ujiaminii na uwe unajiweza kwa njegeka na heka heka zotee.
Yaan shengeshaa uzimudu haswaaa!! Tulishavuka hukoo, watu walikimbia na kuzitelekeza I'd zao, ila sisi wakongwe tuko nginja nginja hapa na I'd zetu OG.
watu tulishawafurusha kundi zima na wakapoteana mmoko baada ya mwiunee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnayoyafanya huko PM nyie wenyewe mnatuletea sisi washika masijala incase mkikwazana mkiyaleta hapa, sisi tusawazishe mtanange.
Kulikoniiii??? Mkiyaleta hapa sisi tunapiga beat, na waja wanaanza kusakata rhumba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu umbea na udaku wowote hapa JF bila sisi haunogi, ndo maana mnatusogezea wenyewee kwa ridhaa yenu, kwani tunawaita au kuwaagiza mtuletee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Em waja msichoke kuleta kiu zenu kwetu, sisi tuko hapa kuwakata kabisaa.
Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]