Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya😂Mods popote mlipo nyie ndiye wasiri wangu pekee ninao waamini
Mnajua kabisa Wazee huwa tunaongea nini na Wajukuu zetu tukiwa tumevuta Kiko zetu 🤭
Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya🤪
Hello Sunday 🥂
Ulinzi ni muhimu kwa Wazee 🤗Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya😂
Kijana wa hovyo.Mods popote mlipo nyie ndiye wasiri wangu pekee ninao waamini
Mnajua kabisa Wazee huwa tunaongea nini na Wajukuu zetu tukiwa tumevuta Kiko zetu 🤭
Endeleeni kutulinda dhidi ya Vijana wa hovyo wanapotuwekea mitego kutaka kutukata mitama wakihisi huwa tunakagua Wajukuu zetu humu jambo ambalo kwa Uzee huu hakuna Mzee yeyote anafanya🤪
Hello Sunday 🥂
😁😁😁 ohooo kuna hatua hadi za kuwa na wa siri, kube nipo nyuma ya mdaNamalizia mwezi wangu ndani ya chitchat nisepe zangu kulekule..!
Kila mtu kila mahali ana MSIRI wake kwenye kila Jambo.
Je wewe MSIRI wako ni nani JF?
Una hakika hata akilewa hawezi kufunguka?
Inabidi zikatwe kabisa.
Sirikali za code .. acha PM awe msiri namba moja tu nafikiri..Muulize shee Atoto akupe codes😂🙌🏿🏃🏿
Kama kiungo kinakuzuia kwenda mbinguni kikate, sio maneno yangu🤣🤣🥱 hii roho ya kikatili umeitoa wapi shee🙌🏿🏃🏿
Nakuchagulia Lucas MwashambwaHakuna