Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,011
- 96,146
We upo? Ilikuwaje siku ile T ukala ban? Au walijichanganya mods? 😹😹😹Mpenzi wangu ndio msiri wangu, huwa ananiambia kabisa huendani na personality yako ya JF. Hasa siku umbea ukikolea humu jinsi ninavyofukua makaburi wakati mpole mwenyewe ananifichia mengi babe wangu