Msiri wako ni nani JF?

Msiri wako ni nani JF?

Mkitaka muwe safe humu acheni kuselfika na kuanzisha mahusiano yasiyo na tija humu JF.

Ukipata akili ya kutambua Lamomy anaweza kuwa I’d nyingine yoyote humu JF basi elewa hakuna siri yoyote hapa.
Namaanisha hivi mtu mmoja anaweza kukutongoza mara nyingi awezavyo kwa ID’s tofauti na usielewe. Na epuka convo za kijinga huko piem mingine ni mitego.

Pia acha kuamini mtu kiasi cha kujiachia na kutuma picha zako naked lazima KITAKULAMBAAA hiyo weka akilini.
Humu JF watu ni vichaa kuliko mnavyofikiri..!!

Sema ndo hivyo malaya wa JF hawawezi kunielewa ni sikio la kufa. 😄😹😹
 
Picha za naked tusitume sawa😁
Ila za kawaida saafi

Kwanini sasa tu si selfike jamani🄱
Anyway umeeleweka ma mtu
 
Na umbea wote na bado una kifua koongole kwako sisi watu waongeaji sana hua tuna siri mnooo šŸ’Æ

Usikute una file langu huko🫢😁
Nna kifua sana. Nishawahi kupewa file la kutisha na mtu ninayegombana naye kwa muda huo lakini nikachagua kumuacha na kumpa soft michambo…!!

Kwa akili za mwingine humu JF hatujuani hiyo ndo ingekuwa kete yake ya kumaliza mchezo..!!

Halafu mimi sina rafiki wala adui wa kudumu, utashangaa siku nakuwa upande wa adui yangu namkingia kifua nikiona anaonewa..!! 😹😹😹
 
Kwanini upunguze watu?
Kuwa na amani. 😁
Mfano wewe, mazoea yatabaki kwa mbali sana, ni silent observer na nyie ni watu hatari sana šŸ˜‚

Mashoga mbuzi na mandumila kuwili🤣
Takataka kabisa 🚮🚮🚮 mtaniondolea upako J2 hii, ngoja nitoke humu
 
Back
Top Bottom