Msiri wako ni nani JF?

Msiri wako ni nani JF?

Kuna mambo huwa yanaendelea humu hata sijui ni nini kilitokea 😁
Kuna miungu watu humu wanajifanya wako perfect sana! Kila utakachofanya humu unakosea wao ndio matajiri, wao ndio hawalombwi na members wa jf, wao ndio warembo, wao ndio wanajua kujiepusha na watu wabaya na bla bla kibao! Wengine naona ni mapunguwani! Wamemdhalilisha mdada wa watu humu balaa.. kisa bwana!
 
Kwanza kwa nini Mwanamke utume picha ya utupu hiyo ni akili ya kikahaba yaani ya kutojali utu wako.
😹😹😹 Unajua mimi mwenyewe nashangaa. Hivi kweli mwanamke mwenye stara zako unatumaje picha la uchi lako?

Hizo ni tabia za makahaba wala hujakosea wifi yangu..!! Kahaba pekee ndo mwenye guts hizo..!!
 
Asilimia kubwa humu watu hawajuani ila mki tofautiana jukwaani anatunga uwongo ili udhalilike kwa kuwaaminisha watu uwongo.
ndo hivyo na ukiwakuta wanavyo kukandia kwa story za kutunga utadhani wao ni malaika watakatifu😆😆, na mtu wa hivyo siku zote ni hamnazo sas mimi ndo nianze kujitetea kwa mtu ambae dishi lake limeyumba,, bora nicheze makopo💃
 
siri gani bwana😅😅 mfano hiyo issue ya D hatuwezi kuiita siri hata kidogo mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ni kawaida kabisa kwanza K ni yake anaitumia anavyotaka kikubwa hajabeba ya mtu wala kumwambia mtu amuinulie labia majora ila Penis ipite,,
Umenichekesha, mwenyewe ninajua kama hushei umbile lako na mtu why watu waumie kiasi hiki? as long as hakuna k ilopotea huko! Sasa hivi kila mtu humu malaya kasoro wao🤣

mimi nguvu ya jicho kwa jicho sina kabisa labda nikuone unaninyang'anya tonge nililo lipambania kwa udi na uvumba😄😄😄 vingine naacha tu wabweke
Mimi nikipata muda wala sipepesi jicho! Hujanizaa nikuwazie we kama nani yani? Ukiletea shobo nakupa unachostahili..
 
😹😹😹 Unajua mimi mwenyewe nashangaa. Hivi kweli mwanamke mwenye stara zako unatumaje picha la uchi lako?

Hizo ni tabia za makahaba wala hujakosea wifi yangu..!! Kahaba pekee ndo mwenye guts hizo..!!
Yaani mwanamke wa hivyo wala simuonei huruma anatumia kitumbua chake kukitangaza,Mwanaume kwanza ana anzaje kuniambia nitumie picha ya kitumbua mamaee atachezea brock na ukoo wake wote.
 
dj atulete na kale ka wimbo ka zuchu
🎶 alokwambia kahadithiwa, alohadithiwa kakosea kukwambia, na alie mwambia alihadithiwa na yeye akakosea kukwambia🎶🎶

nimnyenyekee mtu wakati sijaua?,, humu umbea mwingi ni mambo ya kudinyana na mambo ya financial situation,, wakija na suala la kuliwa niliipeleka mwenyewe sikulazimishwa why niumie? kama ni mambo ya kuishi maisha ya chini au kukoswa pesa kwani mimi ndo natoa ridhiki mpka tufanane kipato?,, hata nikilala kwenye mkeka wenyew wakiamua kuongea watanipunguzia nini😆😆
Wengine mbona tunalala nje afu freshy tu! Kosa kubwa ni kujichekesha na vibwana vyao! Wenyewe hawataki🤣
 
ndo hivyo na ukiwakuta wanavyo kukandia kwa story za kutunga utadhani wao ni malaika watakatifu😆😆, na mtu wa hivyo siku zote ni hamnazo sas mimi ndo nianze kujitetea kwa mtu ambae dishi lake limeyumba,, bora nicheze makopo💃
Asilimia 90% za story zinazo letwa jukwaani ni uwongo ni kuchafuana tu.
 
ndo hivyo na ukiwakuta wanavyo kukandia kwa story za kutunga utadhani wao ni malaika watakatifu😆😆, na mtu wa hivyo siku zote ni hamnazo sas mimi ndo nianze kujitetea kwa mtu ambae dishi lake limeyumba,, bora nicheze makopo💃
Njoo tucheze makopo! Naona hutaki kujitetea kwa ndugu hakimu wa jeihefu🤣
 
Yaani mwanamke wa hivyo wala simuonei huruma anatumia kitumbua chake kukitangaza,Mwanaume kwanza ana anzaje kuniambia nitumie picha ya kitumbua mamaee atachezea brock na ukoo wake wote.
😹😹😹🤣🤣🤣
Nacheka km mazuri ila wifi wewe piga block mpk mbwa na paka zao zote..!!

Watu wa aina hiyo hawafai hata kuwa kwenye watu wako elfu moja wa muhimu..!!
 
😹😹😹🤣🤣🤣
Nacheka km mazuri ila wifi wewe piga block mpk mbwa na paka zao zote..!!

Watu wa aina hiyo hawafai hata kuwa kwenye watu wako elfu moja wa muhimu..!!
Watajua wenyewe humu waoaji kwanza hamna labla kama wanataka kuwa Single Mama.
 
hakuna siri ya wawili bwana,, alf ili iitwe siri ni ile umeishuhudia kwa macho yako kutoka kwa muhusika ilihali yeye alikua anaficha,, mimi siwezi kukusimulia jambo langu mwenyew alf tuiite siri wakati najua binadam hawana kaba

alf mbona vitu vyote vinavyo vujishwa jf nivya kawaida sana jamani😄😄 mambo ya kifamilia au mahusiano sijui flani kamla au kaliwa na flani guys hiyo nayo mnaita siri? acheni ufwala wa kujidai mna mafile ya watu wakati hao watu ndo wameruhusu muwe na hayo mafaili ebo😅,, wew ukileta hizi habari humu huo unakua umbea usiseme umevujisha siri
66d13fe2-525f-44ec-83e8-03e7ce12a199.jpeg
 
Mpenzi wangu ndio msiri wangu, huwa ananiambia kabisa huendani na personality yako ya JF. Hasa siku umbea ukikolea humu jinsi ninavyofukua makaburi wakati mpole mwenyewe ananifichia mengi babe wangu
 
Back
Top Bottom