Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

That is a logical non sequitur.

Mimi kuwa na kitu kama mkojo tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Mkojo ni waste product. Waste product ni sehemu ya an inefficient system.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote awaumbe watu kwa mfumo ambao upo inefficient na una produce waste poduct wakati alikuwa na uwezo wa kuumba watu ambao wana mfumo ambao ni 100% efficient na hautoi waste product?

Unaweza kujibu swali hili?
Aisee mkuu!!!! Ebu endelea kuddaavua,tupe point nyingine
 
Huwezi kulalamika kubaguliwa katikadini ambayo imejengwa katika msingi wa kuwabagua watu wengine kwamba hawamjui Mungu na watu wa dini hiyo tu ndio wanamjua Mungu.

Msingi wa dini hii ni ubaguzi.

Utalalamika vipi kwamba dini ina ubaguzi wakati msingi wake ni ubaguzi?

Ina maana kila siku hujui kwamba ukisema tu "la ilaha illallah muhammadur rasulullah" ushakuwa mbaguzi umewabagua ma Buddhist na Wakristo na Wayahudi kwamba wanaabudu uongo?

Such hypocrisy!
Maana ya hayo maneno ya kiarabu ni nin
 
Utaje huo msikiti, nikiujua nitaenda Ku volunteer kuzuia vibaka wanaoenda misikitini kuiba matalawanda na makubasi
Hicho kiatu kivueeeeee!!!! Wengine wanasema kiatu ni madhambi wengine wanasema ni kiatu halisi cha mguuni,hata twendeeee!!!
 
Uislamu hauruhusu kufanya "reservation" ya mstari wa kusimana katika ibada.

Huku Asia, Waislamu wa kike wanafanya ibada na full make up, kama wanakwenda harusini.
Nilipowauliza, wakajibu, kama unakwenda kuonana na Mola wako, lazima upendeze saa zote.

Huko Afrika, kutumia manukato/ perfume ni mwiko kwa wengi. Vinuka Vikwapa vinakata stimu ya kusali kwa kweli.

Sababu moja naswali msikiti wa Kishiia badala wa Kisunni ni kuwa kuna vinuka vikwapa wachache sana katika msikiti wa Kishiia.

Labda hao jamaa hawataki kusali na vinuka vikwapa, japo hairuhusiwi kidini kubagua.
Aisee kumbeeee!!!!! Waislam takbir!!!!!!!
 
Acha Uongo, hata kama uislam hauruhusu Ubaguzi, Waarabu wanawabagua Wabantu hata katika Ibada.

OVA

thibitisha unayosema, pia fafanua wanabaguliwa vipi wabantu, kwenye safu, kwenye vyoo, ama kupewa nafasi ya kuongoza?
Miskiti karibu yote yenye waarabu wengi utakua Imamu ni mbantu kama ulivyowaita.
 
Uko sahihi kabisa.

Mimi husali Kisunni katika msikiti wa Kishiia pale Mtaa wa India na Morogoro Road.

Napapenda kwa kuwa kuna vyoo visafi, na msikiti unaendeshwa vizuri. Kuna gari la mgonjwa, kuna daktari, kuna madrassa na tuition ya kufundisha watoto wao, jioni msikiti unakuwa sehemu ya kufanya sherehe tofauti za kwao na kuna usalama wa vitu vyako na usafi wa hali ya juu.

Sijakutana na ubaguzi wowote na sijakatazwa kusali kisunni. Ila Ijumaa, wanatoa hotuba kwa Kihindi halafu baadae kwa Kiswahili. Sisi tunatoa kwa Kiarabu pale upanga makaburini halafu kwa Kiswahili.

Miaka hiyo ni ya 80 na mpaka leo hamna msikiti wowote unaendeshwa vizuri kama wa Kishiia, kwa maoni yangu, hasa kuhusu usafi wa vyoo.
(Sijaona bado msikiti wa Kisunni chenye choo cha kukaa).
Hizi dini hiziiii!!!!!
 
HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA
Huo mskiti ni wa dhehebu la shia ithnasharia, waislam wote wanaswali pale bila ubaguzi wowote, na mara nyingi swala pali msikiti huongozwa na sheikh mswahili anaitwa sheikh Lalala
1477558210196.jpg
1477558242226.jpg
1477558283067.jpg
1477558326735.jpg
kama hujui kitu ni vizuri uulize kwanza kabla ya kupotosha ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
That is a logical non sequitur.

Mimi kuwa na kitu kama mkojo tu ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Mkojo ni waste product. Waste product ni sehemu ya an inefficient system.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote awaumbe watu kwa mfumo ambao upo inefficient na una produce waste poduct wakati alikuwa na uwezo wa kuumba watu ambao wana mfumo ambao ni 100% efficient na hautoi waste product?

Unaweza kujibu swali hili?

Allah ameweka mifumo na taratibu si kila kitu kiwe bila mfumo ndio maana kwa muono wa kibinadam ni inefficiency.
mfano wa uumbaji unasema wewe ndio uumbaji wa hereafter yaani huko akhera kutakua na kutokupata haja(waste) mkojo mavi jasho., pia hakuna mwisho, hakuna njaa unakula sio kwa ajili ya kuondoa njaa bali kwa starehe tu.
sasa wewe ulitaka mfumo wa akhera uwe sasa si wakati wake.
 
65a7e59e37e5c0ccbbc65813770642f9.jpg
mkuu bila Shaka wewe unawalenga waumini wa dhehebu la BOHORAD SHIA, ambae wafuasi wake ni wahindi, na hao jamaa kwa utaratibu wao, hawaruhusu kwenye misikiti yao waingie waumini wa sio BOHORAD (madhehebu mengine ya kiislam) na hilo kwa sheria za imani na za tz, inakubalika
Kwa hiyo wajavunja sheria
6cdf2f3cc3dd92666f9068f29e300feb.jpg
b18bf922ff41bd8372cbf4ea27581cb5.jpg
 
Unaijua logical contradiction?

Logical contradiction ni vitu vinapopingana.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sabbu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Mungu huyu ni mtakatifu, kwa nini aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Mungu huyu akiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, hiyo ndiyo logical contradiction.

Hjaitatua logical contradiction hiyo.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?

Hjajibu swali hili.

Kashaumba ulimwengu huo, lakini kau reserve kwa maisha yajayo hereafter.
 
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?

Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!

Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .

Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
hata ukienda misikiti ya wasomali mambo ni hayo hayo,
 
Kule mbagala kuna msikiti wa wamwera kutoka Lindi,mtu wa kabila lingine uruhusiwi kuswali pale.
 
hata ukienda misikiti ya wasomali mambo ni hayo hayo,


Kwanza hakuna msikiti wa wasomali tanzania hii
Wewe una chuki zako tu

Pia mleta mada amedadavuliwa vizuri huo msikiti ni wa kibohora .mabohora hawaruhusu jamii zingine
Na hilo sio haki katika uisilamu la kubaguaana

Ila una govi mzee huruhusiwi
Una
 
Back
Top Bottom