waislamu kwa waislamu wanabaguana halafu wanasema eti dini ya haki
Ahaha Jamiiforums bwana. Yaani kuna watu wanaandika kama hawana kichwa.Misikiti yote ina ubaguzi.
Inabagua wasiotaka kuvua viatu mlangoni.
Sema jingine.
kwanini nisisali mkuu siye ibada ni ibada tu ila siyo nyie mwavua viatu wakati bado ni wachafuJe,Wee Mkatoliki unaweza sali kwenye kanisa la Sabato?
Ndugu hebu nisaidie unaujuaje huu msikiti wa dhehebu fulani? Je kuna tofauti katika kutia udhu hadi kwenye kuswali?Kuna misikiti ya Sunni, Ibadhi, Shia ....,, ya Bohora, Ismailia, Ithnaasheri, Kokny..... Ni upi hasa uliotaka kwenda?
Au ulitaka ukasali tu hata kama siyo madhehebu yako?
Utakuwa sio dhehebu lao,full stop.Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Kumbe nanyi waislam kuna.madhehebu??Kuna misikiti ya Sunni, Ibadhi, Shia ....,, ya Bohora, Ismailia, Ithnaasheri, Kokny..... Ni upi hasa uliotaka kwenda?
Au ulitaka ukasali tu hata kama siyo madhehebu yako?
Wee hujajibu swali langu,unarukia mambo ya kuvua viatu,nimekuuliza na labda na hapa nikuuliza kwenye lugha unayotaka kuisikia au kuielewa ,je wewe ukiwa mkatoliki unaweza kwenda kufanya ibada kwa wasabato?kwanini nisisali mkuu siye ibada ni ibada tu ila siyo nyie mwavua viatu wakati bado ni wachafu
Kuna mahali amesema ni muislamu?Toka lini umekuwa muislamu wewe?
Mahali alipokosea ni kuongelea ubaguzi wa kuvua viatu, wakati mtoa mada ameongelea ubaguzi wa "RANGI"Sasa ndiyo umeongea nini? Unatatizo la kujiona unajua sana na mwishoni unaandika pumba.
We suala kutokuvaa viatu msikitini linahusika vp na ubaguzi? et nyumba ambayo msingi wake ni ubaguzi.
Kuzoea kwako kuingia kanisani na viatu,basi unataka na nyumbani zengine za ibada ziwe na utaratibu huohuo.
Kuna mahali amesema ni muislamu?
Watanzania bana...Kama nilivyoeleza kuwa kwa sababu wewe ulizoea kuingia kanisani na viatu basi unataka na nyumba zengine ziwe na utaratibu huohuo,na ndiyo maana kwako wewe japo msikitini watu wote huvua viatu ila wewe unaita ubaguzi et kwa wenye kutaka kuvaa viatu.
Kumbe kwingineko mungu wao karuhusu matabaka!Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Waendee maofisi ya wahindi huku mikocheni nanwengine nimewakuta Kampala unavua ndiounaingia ndani1.Hakuna katazo la kuingia na viatu msikitini. Sayydna Alii anasema kama dini inakwenda kwa rai za watu basi kupaka maji chini ya viatu ingekuwa bora kuliko kupaka juu wakati wa kupata udhu wa swala pale muislam anapotaka kuingia msikitini na viatu kwa ajili ya swala
2. Ibada ya swala hukamilika kwa muislam kukamilisha nguzo ya twahara. Yaani kuwa msafi wa mwili, mavazi (including viatu) na mahala pa kuswalia. Kama muislamu atahisi viatu vyake sio twahara atavivua nje wakatik wa kuingia msikitini
3. Kutomruhusu muislamu kuingia msikitini na viatu si kumbagua Bali ni kumfanya atekeleze ibada ya swala kwa kutimiza masharti (kuwa twahara) kama viatu vyake ni twahara hakatazwi kuingia navyo msikitini
4. Kuvua viatu haiko msikitini peke yake, zipo ofisi na Nyumba watu hutakiwa kuvua viatu.
Wasunni wanaweza kusali msikiti wa Mashia?Siye waislamu ni vigumu kubaguana. Muislam anaweza kuingia msikiti wowote ambako swala ilimkutia.
Ataingia, Atatawadha, Ataswali , Ataondoka.
Kulingana na mafundisho ya dini ya kiislamu ni vigumu sana kubaguana.
Msikiti wowote hapa duniani ni mahali salama kimwili na kiroho kwa muislamu yeyote.
Nina hakika wewe na uyo aliyekwambia wrote ni wanafiki. Either mna sababu zenu binafsi au mna zile tabia za umbea usio na tija.
Nitashukuru na kukuona wa maana kama utataja jina LA msikiti ili waislam halisi wakahakikishe uyasemayo.
Sijawahi kuonaKwani mwafika haurusiwi kuwa budha au kuna kitu zaidi ya waombavyo manake haya mahekalu yana mambo.
Ukiwa na govi poa uruhusiwi kuingia msikitini wenye mkono wa sweta wanabaguliwa pia !Watanzania bana...
Mada inaelezea ubaguzi wa watu weusu katika Msikiti flani ila wewe unazungumzia habari ya kanisani.
Hiyo Misikiti IPO.
Hivi wewe uliielewa post yangu? Au umejibu tu, nimesema msikiti wa Manyema kariakoo, sio umanyemani Kigoma.Mmmh !! dadngu usiamini maneno hayo ya Patience123 acha uongo !! HAKUNA,HAKUNA, NO no kwanza hakuna Wamanyema waeupe, hilo ni uongo !! pili inapo adhiniwa tu wa kwanza hutakiwa akaSwali mbele apendavyo !! safu hutimia tammati ndipo Swala husimama !!!
Ukiwa na govi poa uruhusiwi kuingia msikitini wenye mkono wa sweta wanabaguliwa pia !Watanzania bana...
Mada inaelezea ubaguzi wa watu weusu katika Msikiti flani ila wewe unazungumzia habari ya kanisani.
Hiyo Misikiti IPO.