Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

Wasunni wanaweza kusali msikiti wa Mashia?

Je waismailia wanaweza kuswali kwa wasunni?
Mpendwa kwa hili lijuwe vizuri kuwa MUISLAM wa haki anaweza Swali popote ilimradi pawe pakavu (yes anaweza Swali hata makanisani popote na msikiti yote)
Kwani Swala ni ombi linaloenda kutii uwepo wa MUNGU !!

karibu sana 24/7 tuwe karibu na Muumba !!
 
Mahali alipokosea ni kuongelea ubaguzi wa kuvua viatu, wakati mtoa mada ameongelea ubaguzi wa "RANGI"

ILA yote kwa yote,

Misikiti na Makanisa asili yake ni "UBAGUZI"

Wewe mtu Mweusi hutakaa uache kubaguliwa na Wazungu, Waarabu, Wahindi au Wachina na wajapan.

Kuna Misikiti yenye ubaguzi hata Arusha.
Unabaguliwa kwa lipi na una baguliawa vp
 
Hivi wewe uliielewa post yangu? Au umejibu tu, nimesema msikiti wa Manyema kariakoo, sio umanyemani Kigoma.
Hayo ni mambo ya kizamani, enzi Kariakoo nyumba zinapauliwa na makuti na mabati ya madebe !
 
Watanzania bana...

Mada inaelezea ubaguzi wa watu weusu katika Msikiti flani ila wewe unazungumzia habari ya kanisani.

Hiyo Misikiti IPO.
Unashangaa kuingia habari ya kanisa ila hushangai habari ya viatu imeingiaje hapa.
 
Acha Uongo, hata kama uislam hauruhusu Ubaguzi, Waarabu wanawabagua Wabantu hata katika Ibada.

OVA
Wagalatia bana ! mbona Uarabuni hakukuwa na akina Martin Luther King, ila watu mashuhuri weusi waliingia Uislaam. Muhammad Ally Malcom X Kareem Abduljabar to mention few !
 
Wagalatia bana ! mbona Uarabuni hakukuwa na akina Martin Luther King, ila watu mashuhuri weusi waliingia Uislaam. Muhammad Ally Malcom X Kareem Abduljabar to mention few !
Hahaha...wewe ni Mbantu tu mbele ya waarabu na dini yao
 
sasa kajuaje mambo ya ndani msikitini?
Kujua habari ya msikitini ni mpaka uwe muislamu? Mbona waislam huwa wanayatangaza hadharani mambo yao na yanayopaswa kufanyika? Hata kupitia CD'S

Kwani hakuna Waislam wanaojua mambo ya kikristo ingali hao sio wakristo?
 
Ukiwa na govi poa uruhusiwi kuingia msikitini wenye mkono wa sweta wanabaguliwa pia !
Sasa kumbe kuna UBAGUZI namna hiyo?

Msikitini mnaponya roho za watu au Dushe zao, mpk muwaexclude wenye magovi?
 
SalaamAleykum W W..
Nakuamkia kwa Salaam za muumba Rehema zake ziwe juu yetu !!
kwa heshima na taadhima nachambua kauli uliyotujuza kuwa Huko Asia na huku barani Africa !!
Wanazuoni wengi husema "ihtilafu za MaUlamaa ni rehema" yaani kuna Madrasa (mafundisho) mbali mbali za ilmu ya dini.... japo wapo wanaokubalina na upamabaji (urembo,maukato kwa "ke" hizo) na wapo wanaopingana nao na wapo waiitayo makruhu (kero) !!Sasa yategemea mtumiaji huyo anafuata MADRASA ipi ...
Makazi mema na kila lenye kheri nawe...

Aleikum Salaam.

Mimekusoma vizuri.

Naam. Kuna madrassa tofauti ya dini.
Nashukuru Mungu, nimetembea Uturuki, Indonesia, Brunei Darusallam na Malaysia. Huko kote kuna ilmu tofauti na pia ni utamaduni tofauti.

Indonesia, Brunei na Malaysia, watoto wa kiume wanatahiriwa wakiwa wakubwa (miaka 5-8) na kufanywa sherehe kubwa. Wa kike, pia kuna Sunna inafanywa, hawawakati bali wanatoboa tundu dogo na sindano katika "clitoris"kitu ambacho hatufanyi kwa watoto wa kike nyumbani.

Uturuki "ameen" huisikii ukisali. Hawaitumii. Lakini Mimi naisema kimazoea nikiwa Istanbul.

Na kama nilivyoandika, wanatumia perfume wakienda kusali Asia, wanaamini kuwa lazima wanukie na kupendeza wakienda kusali, japo wanajifunika na nguo maalum ya kusalia, kwa mbali utafikiri ni mabohora wa Tanzania.

66f693a6da94b91642d8acd28319216a.jpg

Kila la kheri.
 
MashaAllah nimekubali kweli kuna ma Imam wanne!!! NaKushukuru kwa edctv. info !!!
 
SalaamAleykum W W..
Nakuamkia kwa Salaam za muumba Rehema zake ziwe juu yetu !!
kwa heshima na taadhima nachambua kauli uliyotujuza kuwa Huko Asia na huku barani Africa !!
Wanazuoni wengi husema "ihtilafu za MaUlamaa ni rehema" yaani kuna Madrasa (mafundisho) mbali mbali za ilmu ya dini.... japo wapo wanaokubalina na upamabaji (urembo,maukato kwa "ke" hizo) na wapo wanaopingana nao na wapo waiitayo makruhu (kero) !!Sasa yategemea mtumiaji huyo anafuata MADRASA ipi ...
Makazi mema na kila lenye kheri nawe...
Aiseee
 
Ktk uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali" usipende habari za kusikia kwa taarifa yako tu ktk uislam haya mambo huwa hatuna madhehebu tunayo na hayaleti utofauti ktk ibada zetu na hata muumini yyt anaweza kutoka tz akaenda kusalisha hata China kwa dhehebu lolote bila waumini was kuona huyu mpya hatuna utofauti ktk ibada na ndo hiyo sifa inayosababisha kutokuwepo matabaka ktk imani yetu na hata kiongozi kama raising akaingia ktk msikiti hawezi haribu utaratibu wa imani atakaa kwenye mistari kama wenzie na we utaki kushangaa kumbe tulisali na mh. Rais Fulani,na kama itatokea msikiti huo upo basi tambua sio waislam hatuna utaratibu huo mkuu.
 
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?

Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!

Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .

Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Walipata hisia utawaibia viatu...ndo mana wakakubagua
 
Back
Top Bottom