Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

Inawezekana maana uwezekano wa kubaguliwa katika misikiti yetu ya kawaida hakuna

Huyo aliingia bohora ama Shia
Misikiti ya Anjuman e saifee (Dawoodi Bohra) mfano Hakimi Mosque uliopo upanga karibu na Olympio school na Ile ya Khoja Shia ndio Mswahili hatii pua kwenye ibada zao.......
Ukiona mmatumbi huko basi ni mlinzi tu
 
Back
Top Bottom