Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

Sio kweli mm nimeingia kfanya ibada takriban misikit yote ya posta sijaona msikiti unaombagua mtu kwa rangi yake kwani itikadi ya uisilamu ni kuwa muislam ndugu yake ni muislamu bila kujali rangi ama kabila.
 
Wapi nimeng'ang'ania kwa nini Mungu asiumbe dunia isiyo na efficiency?

Hivi unaelewa hata ninachoandika?

swali hili umeliuliza kwa zaidi ya post tatu "Kama ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao hauna inefficiency?"

sasa ndio ujuwe kwamba haya ndio maisha aliyoumbia dunia,
na huo ulimwengu ambao hauna inefficiency ni ulimwengu wa Peponi(Firdaus)
 
Kauli za kutengeneza ili kuchochea uvunjifu wa Amani hazina nafasi katika karne hii.Pika uongo mwengine ila huu hauwezi leta madhara yoyote katika jamii.
 
Wewe hujui hata tofauti ya efficiency na inefficiency.

Unachanganya mawili haya ambayo ni tofauti.

Sina confidence kwamba una uwezo wa kujadili uwepo wa Mungu kwa mantiki inayotakiwa.

Kwa mfano wako huo unaweza kusema Mungu hayupo ukimaanisha yupo, au kusema yupo ukimaanisha hayupo.
 
hakuna msikiti watu wnabaguliwa kufanya ibada ukiona watu weusi hawaingii ni dhehebu hawalifagilii kuna wahind wanamadhehebu tofauti tofauti
 
Wewe hujui hata tofauti ya efficiency na inefficiency.

Unachanganya mawili haya ambayo ni tofauti.

Sina confidence kwamba una uwezo wa kujadili uwepo wa Mungu kwa mantiki inayotakiwa.

Kwa mfano wako huo unaweza kusema Mungu hayupo ukimaanisha yupo, au kusema yupo ukimaanisha hayupo.

Hongera hivi unajiona wewe ni wa kunifundisha mimi kiingereza? kwanza neno "efficiency" sijalitumia popote kwenye post zangu.
 
Kutotumia neno efficiency hakumaanishi kwamba huwezi kuchanganya efficiency na inefficiency.

Kwa sababu unaweza kutumia neno inefficiency sehemu ulipotakiwa kutumia neno efficiency.

Zaidi ya Kiingereza, una tatizo la logic.

Tatizo hilo ni baya zaidi kwa sababu limejikita katika namna unavyofikiri katika lugha yoyote ile.
 
Wewe hujui hata tofauti ya efficiency na inefficiency.

Unachanganya mawili haya ambayo ni tofauti.

Sina confidence kwamba una uwezo wa kujadili uwepo wa Mungu kwa mantiki inayotakiwa.

Kwa mfano wako huo unaweza kusema Mungu hayupo ukimaanisha yupo, au kusema yupo ukimaanisha hayupo.

Wewe umeweka hoja kwamba kama yupo na Kama ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao hauna inefficiency?

nikakujibu kwamba kwa Allah kutokuumba Dunia isiyo na inefficiency haimaanishi kwamba hawezi na hayupo nikakupa na mifano.

matokeo yake umeanza kuja na maneno ya kejeli ati "Sina confidence kwamba una uwezo wa kujadili uwepo wa Mungu kwa mantiki inayotakiwa." wewe unapinga bila kujielewa unapinga nini.
 
Kutotumia neno efficiency hakumaanishi kwamba huwezi kuchanganya efficiency na inefficiency.

Kwa sababu unaweza kutumia neno inefficiency sehemu ulipotakiwa kutumia neno efficiency.

Zaidi ya Kiingereza, una tatizo la logic.

Tatizo hilo ni baya zaidi kwa sababu limejikita katika namna unavyofikiri katika lugha yoyote ile.

Yaelekea hujaweza kupambanua " negation of a negative statement"
 
Wewe umeweka hoja kwamba kama yupo na Kama ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao hauna inefficiency?

nikakujibu kwamba kwa Allah kutokuumba Dunia isiyo na inefficiency haimaanishi kwamba hawezi na hayupo nikakupa na mifano.

matokeo yake umeanza kuja na maneno ya kejeli ati "Sina confidence kwamba una uwezo wa kujadili uwepo wa Mungu kwa mantiki inayotakiwa." wewe unapinga bila kujielewa unapinga nini.
Kabla ya kusema Allah kafanya hivi na vile, unaweza kuthibitisha yupo?

Kwa nini mtu yeyote mwenye akili zake timamu aamini kwamba huyo Allah yupo kweli na si hadithi za uongo tu?
 
Sio kweli mm nimeingia kfanya ibada takriban misikit yote ya posta sijaona msikiti unaombagua mtu kwa rangi yake kwani itikadi ya uisilamu ni kuwa muislam ndugu yake ni muislamu bila kujali rangi ama kabila.
aliteleta huu uzi ni mbumbumbu
 
Yaelekea hujaweza kupambanua " negation of a negative statement"
Wewe umeshindwa hata kurudia nilichoandika.

Nitakuwaje na confidence kwamba unanielewa na una uwezo wa kupambanua mantiki katika maandishi yangu?
 
Kabla ya kusema Allah kafanya hivi na vile, unaweza kuthibitisha yupo?

Kwa nini mtu yeyote mwenye akili zake timamu aamini kwamba huyo Allah yupo kweli na si hadithi za uongo tu?

Hahaha kwa akili yako usipoweza kuthibitisha uwepo wa kitu basi ndio hakipo? umenifurahisha sana,kwa kubadilisha hoja baada ya hoja.
 
Huu ni Msikiti wa Shia Ithinasharia katika Itikadi hii waswahili huwezi waoma wengi kutokana kuwepo kwa tofauti ya mapokeo. Waswahili ni wachache na wengi wao husalia kwenye Msikiti wao uliopo kule Kigogo.
Ni Khoja Shia Ithinasharia ndio ni Indian tupu, Shia Ithinasharia ndio kuna wamatumbi
 
Back
Top Bottom