Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,784
- 145,580
So why quote me?And that is beside the Answer
How do you have an answer if what you write is beside the question in the first place?
So why quote me?And that is beside the Answer
Tatizo huo msikiti wa Mashia sasa ukiwa Sunni utawezaje kwenda kusali msikitini wa mashia? Ndio maana mleta mada akasema msikiti wa weupe(shia) na weusi hawaruhusiwi.Weka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.
Mkuu Kiranga wewe huamini Mungu lakini kila mada ya dini lazima ukuwepo hivi unaweza kuniambia kwanini?So why quote me?
How do you have an answer if what you write is beside the question in the first place?
Nikikwambia kwa sababu siamini Mungu utasemaje.Mkuu Kiranga wewe huamini Mungu lakini kila mada ya dini lazima ukuwepo hivi unaweza kuniambia kwanini?
So why quote me?
How do you have an answer if what you write is beside the question in the first place?
Apparently your sense of chronology is warped up.Then why answer me?
How do you have a question if what you write is beside the answer in the first place?
RAS SIMBA anawaharibu sana watu aiseeApparently your sense of chronology is warped up.
You started to quote me, not the other way around.
Once again you are perfecting the art of steering beside the question at hand.RAS SIMBA anawaharibu sana watu aisee
Hakuna sunni anayeswali kwa hawa waliopotoka ,nani aswali kwa hawa mabohora wanaswali tofauti wanavunja sheria ,hata siku ya ijumaa ikifika na nikiwa mitaa ya Hindu kule siwezi kuingia kuswal ntatembea umbali mrefu nitafute mahala pengine ,shia Tanzania hakuna ,wapo asilimia 1 walionunuliwaHakuna ushia wa kihindi na wa kiafrika,in that case hakuna msikiti wa kihindi na wa kiafrika ,ndiyo maana ukenda msikiti wowote wa shia utaona watu mchanganyiko wakiswali,hata masunni pia wanaswali humo ingawa kuna baadhi ya watu wanajishtukia
Ninajua huamini Mungu kwa mujibu wa maongezi yako hapa jf hilo najua sitaki kujua kwanini nishajua kwanini. Suala langu kwanini mada nyingi za jf zinazoongelea dini lazima uwepo na wewe huamini uwepo wa Mungu?Nikikwambia kwa sababu siamini Mungu utasemaje.
Kila mada ya dini JF unaifuatilia?
Kama huna cha kuandika soma tu ya wengineWewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Hebu uwe unasoma unachoandika kabla hujapost ili kupunguza logical contradictions. Itakusaidia pia kuacha kuja na conclusion ambayo haina premises,Sasa kama having power to do something does not force god to do that something, kwa nini kawa na power ya ku allow evil iwezekane halafu akaiachia iwezekane wakati hakuwa forced kuachia evil iwezekane?
Mungu mwenye uwezo wa kusafisha viatu vyote, mwenye upendo wa kusafisha viatu vyote, mwenye ujuzi wa kusafisha viatu vyote, kwa nini asisafishe viatu vyote?
Hujajibu swali hili.
Unaijua logical contradiction?Hebu uwe unasoma unachoandika kabla hujapost ili kupunguza logical contradictions. Itakusaidia pia kuacha kuja na conclusion ambayo haina premises,
We wamlazimisha Mungu asafishe viatu kwa kuwa ana uwezo huo, ila hujui kuwa kuwa na uwezo sio the only reason ya kufanya kitu
We una Fanya kila ambalo una uwezo wa kulifanya?
Then unakuja na theories za evils, wala si mada yetu...mada yetu ni kuvua viatu msikitini ambapo umeshaelewa kuwa kuvua viatu hakuna lengo la kumbagua asiyetaka kuvua, anaweza kuingia na viatu vyake kama atataka.
Theories za Evils nitakufundisha
Umeanza kuelewa mada ya viatu. umeiacha umekuja na mada ya evils.Unaijua logical contradiction?
Logical contradiction ni vitu vinapopingana.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hana sabbu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Mungu huyu ni mtakatifu, kwa nini aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Mungu huyu akiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, hiyo ndiyo logical contradiction.
Hjaitatua logical contradiction hiyo.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
Hjajibu swali hili.
Ni mada moja tu.Umeanza kuelewa mada ya viatu. umeiacha umekuja na mada ya evils.
hicho ndio kipimo chako cha kupima akili za watu?Ni mada moja tu.
Ukiwa na akili fupi utaona mada mbili tofauti.
Tatizo huna akili ya kuona kwamba ni mada moja.
Sent from my LGLS992 using JamiiForums mobile app
haitotokea duniani mtu akazuiwa kuingia ndani ya msikiti kwa sababu ya rangi yake!Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Kwa maana hiyo hata hao wataalamu nao watakuwa wana tatizo hilohilo pia.Wataalamu wa Saikolojia wanasema kwamba dalili moja kubwa ya watu wenye matatizo ya kisaikolojia ni wao kuona wengine wana matatizo ya kisaikolojia.
Psychological projection is a theory in psychology in which humans defend themselves against their own unconscious impulses or qualities (both positive and negative) by denying their existence in themselves while attributing them to others.
Psychological projection - Wikipedia, the free encyclopedia