Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,799
- 145,630
Huwezi kulalamika kubaguliwa katikadini ambayo imejengwa katika msingi wa kuwabagua watu wengine kwamba hawamjui Mungu na watu wa dini hiyo tu ndio wanamjua Mungu.We ndiyo mwenye kuokoteza vitu hewani. Kuvua kwa viatu msikitini kuna mahusiano gani na ubaguzi?
Kila sehemu kuna utaratibu wake,hata ofisini kuna taratibu zake. Sasa wewe unataka utaratibu wa sehemu nyengine ndiyo utumike pahala pengine.
We kama ulizoe utaratibu wa kuingia na viatu kanisani basi usitake kufanya na sehemu zengine kuwe na utaratibu huo huo.
Msingi wa dini hii ni ubaguzi.
Utalalamika vipi kwamba dini ina ubaguzi wakati msingi wake ni ubaguzi?
Ina maana kila siku hujui kwamba ukisema tu "la ilaha illallah muhammadur rasulullah" ushakuwa mbaguzi umewabagua ma Buddhist na Wakristo na Wayahudi kwamba wanaabudu uongo?
Such hypocrisy!