Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

mtoa mada mbona kma unanchanganya topic yako inaonyesha kama unauliza swali vile, then mistari mitatau ya mwanzo hakukua na haja ya kuweka kiulizo??

any way misikiti mingi ya posta waumini wao wengi ni wahindi, na jamii ya watabu na wengi wao hutumia au huabudu tofauti na jamii ya kitanzania au huwa na madhehebu yao au mashia kwa hiyo vile wanavyoswali wao ni tofauti na Sie hapo ndo unaona kama wanakunagua mkui
 
HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA
 
Huyu mleta mada ni mnafiki ,kaleta hii mada makusudi ili achemshe watu kusudi aone watareact vipi? kwa kifupi Misikiti kama Makanisa yote huwa na majina,sasa unaposema msikiti upo posta sijui nini na nini hutoeleweka ilibidi uende moja kwa moja kwenye hoja ni msikiti upi na wamekubaguaje? ili ueleweke,vinginevyo ni MAJUNGU tu ambayo naona umefeli,kajipange upya na zengwe lingine sio hili.
 
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?

Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!

Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .

Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Wewe si mswaliji na sio muislam.
hakuna msikiti huo mjini
labda ulienda temple ya hindu ukadhani ni mskiti.
 
Hujajibu la kanisani umelitoa wapi.

Msikiti haubagui kwa msingi wa wanaoingia kwa kuvaa na kutovaa viatu?
Kwani umeambiwa na nani kwamba kuingia na viatu msikitini hairuhusiwi..!!??
 
Mleta mada una chuki na uislam coz kama ulikua una nia njema ungetaja huo msikiti ni upi...otherwise hii ni defamation
 
HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA
Huu ni Msikiti wa Shia Ithinasharia katika Itikadi hii waswahili huwezi waoma wengi kutokana kuwepo kwa tofauti ya mapokeo. Waswahili ni wachache na wengi wao husalia kwenye Msikiti wao uliopo kule Kigogo.
 
Uanabaguliwa ndiyo..sasa ulitaka iwaje? Kwani itakuwa ni Mara ya kwanza kubaguliwa?? Ndo maana kuna wazungu,waarabu,waafrika wahindi nk. Similar birds flock together bwana...ulitaka uwe kenge kwny msafara wa mamba? Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba mkuu.. Kwani ukiswali msikiti mwingingine kwani kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi kaka. Hata watoto hucheza na wenzao wanaoendana! Unalalamika kubaguliwa nchini kwako? Ubaguzi ulikuwepo tangu enzi za akina Said Balaghash itakuwa leo?
•Islam doesn't go that way..
•We call ourselves brothers and sisters IN ISLAM..no discrimination..
•Thats y hata kama ukiwa RAISI lazima uvue viatu ndo uingie msikitini..NO CLASSES IN ISLAM bro..!!
 
Back
Top Bottom