Msikiti wa posta na ubaguzi??

Msikiti wa posta na ubaguzi??

huko posta, inaeleweka waumini wanajuwana kwa rangi, je huko mbagala wanajuana kwa nini? au hao WAMWERA,nawo ni weupe?
 
Huo utakuwA msikiti wa wahindi wenye medhehebu ya SHIA, kama BOHORA , KHOJA na IthinaAsheria
 
Allah hashindwi na chochote, ila ameumba Dunia akaweka taratibu na mifumo ili maisha yawe rahisi na salama, angefanya hewa ya msikiti iwe inasafisha viatu automatically, hiyo ingeleta fujo la watu kujazana msikitini kwenda kuoshewa viatu automatically badala ya wenye imani kwenda kuswali.
Thibitisha kwamba yupo kwanza.
 
Jumuia ya MABOHORA, kutokana wao misikiti yao ndio Sehemu ya kuhifadhia vitu vao va thamani, mimi naona sababu ya kutoruhusu waumini wengine kusali kwenye misikiti yao, ni hofu ya kuogopa vibaka na wezi kujichanganya na kuwaibia kama ibavotokea kwenye misikiti mingine
44f270a9b972e0a3a4d367863c80de5d.jpg
4511b22a081bf7566cb217889b9f53ae.jpg
57c5d40f9df3c21d0c65d76d4d4c3d3c.jpg
313e55449939dd124221a76ff526d0f9.jpg
 
Hujajibu maswali yaliyoulizwa.

Hujathibitisha Mungu yupo, hutakiwi kusema kafanya hili au lile kabla hujathibitisha yupo.

usibadilishe mada hapa, umeleta hoja kwamba kama anauwezo wa kufanya yote je, kwanini hajafanya Dunia isiyo na inefficiency, sasa kama unataka uthibisho wa uwepo ungeuliza mwanzo sio hoja juu ya hoja.
 
Jumuia ya MABOHORA, kutokana wao misikiti yao ndio Sehemu ya kuhifadhia vitu vao va thamani, mimi naona sababu ya kutoruhusu waumini wengine kusali kwenye misikiti yao, ni hofu ya kuogopa vibaka na wezi kujichanganya na kuwaibia kama ibavotokea kwenye misikiti mingine
44f270a9b972e0a3a4d367863c80de5d.jpg
4511b22a081bf7566cb217889b9f53ae.jpg
57c5d40f9df3c21d0c65d76d4d4c3d3c.jpg
313e55449939dd124221a76ff526d0f9.jpg

Husianisha picha na maelezo
 
usibadilishe mada hapa, umeleta hoja kwamba kama anauwezo wa kufanya yote je, kwanini hajafanya Dunia isiyo na inefficiency, sasa kama unataka uthibisho wa uwepo ungeuliza mwanzo sio hoja juu ya hoja.
Hata hilo swali hujalijibu.

Kama ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao hauna inefficiency?

Kagera watu 23 wameuawa kwa tetemeko, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaruhusu matetemeko wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko?

Matetemeko mengine yamepiga Italy, baada ya yale ya August. Kwa nini Mungu huyu mnayemsema mwema sana kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?

Kimbunga kimepiga Haiti, watu 900 wamefariki, kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaruhusu majanga haya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu majanga haya kutokea?

Hujajibu swali hili.

Sijauliza kuhusu ulimwengu wa kufikirika ambao hata hauwezi kuthibitishwa kwamba upo.

Nimeuliza kuhusu huu tunaouona na kuujua. Naomba unijibu kuhusu ulimwengu huu, si wa kufikirika.
 
Wewe ndio unataka Dunia isiyo na inefficiency kwa sababu za kibinadam yeye hahitaji chochote kwetu, yeye ameumba na akaweka taratibu za maisha za kufutwa na viumbe vyake na utashi wake Dunia iende kwa utaratibu na mfumo ila akaumba na Akhera ambayo hiyo hali ya kutokuwepo kasoro iko huko, hakuna kufa wala kwenda choo wala kuchoka wala kasoro zozozte. hivyo si utaratibu wa Dunia kuwa unavyotaka wewe. huo unaotaka wewe ni utaratibu alioupanga kwa ajili ya akhera
 
Hujajibu maswali niliyokuuliza.

Dhana ya Mungu wako haina logical consistency. Ina contradiction.

Narudia. Naomba nijibu maswali ninayokuuliza, usijibalaguze kwa kuyacha na kuleta mambo tofauti ambayo sijauliza.

Kama Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu huu uwe ambao hauna inefficiency?

Kwa nini hakuumba ulimwengu huu uwe ambao majanga hayawezekani?

Kagera watu 23 wameuawa kwa tetemeko, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaruhusu matetemeko wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko?

Matetemeko mengine yamepiga Italy, baada ya yale ya August. Kwa nini Mungu huyu mnayemsema mwema sana kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?

Kimbunga kimepiga Haiti, watu 900 wamefariki, kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaruhusu majanga haya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu majanga haya kutokea?

Hujajibu swali hili.

Sijauliza kuhusu ulimwengu wa kufikirika ambao hata hauwezi kuthibitishwa kwamba upo.

Nimeuliza kuhusu huu tunaouona na kuujua. Naomba unijibu kuhusu ulimwengu huu, si wa kufikirika.
 
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?

Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!

Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .

Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Sidhani kama wanaweza kubaguana ingawaji mi ni mkiristo

Magaidi huwa hawabaguani
 
Hata hilo swali hujalijibu.

Kama ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini hakuumba ulimwengu ambao hauna inefficiency?

Kagera watu 23 wameuawa kwa tetemeko, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaruhusu matetemeko wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko?

Matetemeko mengine yamepiga Italy, baada ya yale ya August. Kwa nini Mungu huyu mnayemsema mwema sana kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?

Kimbunga kimepiga Haiti, watu 900 wamefariki, kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaruhusu majanga haya wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu majanga haya kutokea?

Hujajibu swali hili.

Sijauliza kuhusu ulimwengu wa kufikirika ambao hata hauwezi kuthibitishwa kwamba upo.

Nimeuliza kuhusu huu tunaouona na kuujua. Naomba unijibu kuhusu ulimwengu huu, si wa kufikirika.
Aisee endelea kueleza mkuu
 
Aisee endelea kueleza mkuu
Kuna watoto wadogo mabilioni wamefariki wakiwa wadogo sana, kwa sababu wakunga hawakujua kwamba wanatakiwa kuosha mikono.

Kwa sababu hakukuwa na antibiotics.

Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao watoto hawa wasio na hatia wamefariki wakiwa wadogo hivyo wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hawawezi kufa hivyo?

Watu weusi wamebaguliwa sana. Wameuzwa utumwani. Wameuawa. Wamechinjwa. Wamefanyiwa kila unyama.

Kwa nini huyu Mungu kama kweli ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao ubaguzi wa rangi na unyama wote huu unawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu huu kwa namna ambayo ubaguzi wa rangi na unyama wote huu hauwezi kuwepo?
 
Back
Top Bottom